Nafanya kazi hoteli,nataka demu wa kizungu,nitumie mbinu gani ?

Kwani huwa unatumia njia gani kuwaboa hao wazungu kiasi hicho mkuu?
 
casual wear ndo nini?
 
karibu serengeti national park wapo wengi sana naamini utapata hata mmoja kwa mbinu yoyote ya kawaida tu.
 
Hahahaaa kosa lako kubwa sana unalolifanya you're overestimating them, akili yako inakufanya uwaone wao ni kama special breeds pia unakuwa very desperate around them (women can smell desperation from miles away). Kama kweli unataka kula nyapu zao, stop simping! Women (especially caucasians) abhor simps. You treat her like a queen, and she'll treat you like a peasant (servant). You put her on pedestral, and you'll give her no choice but to look down on you. No matter what women say, deep down, they want you to take charge. That's why they let you pick the place and time for a date. Be decisive! .
 
Unampango wa kuwa MARYOO (kiben ten) !!! .Tabia mbaya ya uvivu, unataka maisha ya mteremko, ungekuwa na shida na wanawake weupe warabu waswahili wamejaa Pemba,tanga kariako na mikoani bado kuna warangi.Shida yako ni Umaryoo wala so kupenda mzungu(Weupe na nywele), safiri nenda ulaya ukaolewe kule.Kuna website za kudate Kama Muslim. Com ambapo unafungua account unalipia kila mwezi dola 40 ukimpata mzungu au mwarabu mnaona.Fanya jazi Acha fikra za Umarioo utakuwa mtumw na kuuza utu wako.
 

Na sio Wazungu wote uongea Kiingereza , hivyo Kiingereza sio lazima, kutongozana au kupendana hakuna cha Kidhungu wala Kirastafaria.. ni Kujiongeza tuu basi unachukua mtoto wa sanamu kiulaiiiiini
 
Wape bure hizo mali zako
 
Tatizo huna swags zao labda huvutii halafu unatia huruma sana

Nani kakuambia wazungu nao sio gold diggers? Mimi nimekaa na wazungu sana, mzungu utampata kikongwe lakini teenagers ni wachache sana wanaotaka long-term relationships, wengi wanataka shortime wakishamaliza kama ni vacation au volunteering msijuane.
 
Seriously? Wazungu mbona ni watu kama wewe mkuu. Futa hiyo inferiority mindset.

Umejiuliza kwanini wao hawataki wanaume wa kiaafrika?
 
Mtafute Shilole akufundishe Kiingilishi cha ugoko ili uandike ujumbe bila kuvunja sana.
 
Yaani ukifuga rasta tuu wanajua direct ww ni muwindaji hahahaha hata uibahatisha ni one night stand !!
Ushauri
Punguza shobo wachukulie kawaida kabisaa but be nice !! Wapo wengii mbona ni hotel gani iyo uliopo duu !! By the way sehemu za kazi kupata sio kiivo ila za starehe watu hufanya starehe [emoji23][emoji23][emoji39]
Jichanganye mkuu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…