Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu usinisahau kwenye ufalme wa maswali yaliyopita nijikumbushie
Naamini majobless wenzangu wataanzisha ma group ya WhatsApp kama mara ile, hata lile la telegram itabidi tulifufue 😂😂😂


Maswali mengi yalitupiwa mule.
Tafuta ile link ya group la telegram imo humu humu Jamii forum.
 
Taasisi za serikali hazipo serious kabisa linapokuja suala la kutumia teknolojia kufanikisha mambo yao,
1. System ni nzito hadi inakera
2. Unatumia zaidi ya masaa matatu kuapply kazi kupitia Portal yao
3. Mfumo si rafiki kwa mazingira haya ya karne ya 21
4. Mnatakiwa kutambua kwamba huo ugumu wa kuapply haufanyi na hausaidii taasisi kupata watu ambao ni competent
 
mwaka jana nilijaribu huku ila kama huna wa kukushika mkono hapa pccb acha , maana kuna ambao hawakufanya written interview ila majina yao yakatokea kwenye oral interview , hii ishu aliwahi iongelea jamaa anaitwa Abdul Nondo kwenye mambo yote yaliyotokeaga hapa , ila kujaribu sio dhambi
 
Back
Top Bottom