Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Ni taasisi mbovu kuliko taasisi zote Tanzania.

Bora ingefutwa na mishahara yao ikapelekwa kwenye taasisi ya afya.
Mimi mwenyewe naweza kuwakamata wala rushwa zaidi ya kumi kila siku.

Lakini hii taasisi ya kishenzi, ndani ya miezi mitatu unaweza kukuta hawajakamata mtu hata mmoja.

Hawaoni polisi wa barabarani, vituoni? Bila rushwa hupati dhamana.
 
Naamini majobless wenzangu wataanzisha ma group ya WhatsApp kama mara ile, hata lile la telegram itabidi tulifufue [emoji23][emoji23][emoji23]

Maswali mengi yalitupiwa mule.
Tafuta ile link ya group la telegram imo humu humu Jamii forum.
Kulipata sasa
 
mwaka jana nilijaribu huku ila kama huna wa kukushika mkono hapa pccb acha , maana kuna ambao hawakufanya written interview ila majina yao yakatokea kwenye oral interview , hii ishu aliwahi iongelea jamaa anaitwa Abdul Nondo kwenye mambo yote yaliyotokeaga hapa , ila kujaribu sio dhambi
Hizi ngoma zinazoenda manually kupasua ni ngumu mno. Kila mtu anapambana aweke wa kwake, tuendelee kuomba Mungu tu.
 
Usijisumbue kama huna connection

Naam
Bado sijasahau, kile kituko cha ajira walitangaza wakaanza kupeana nje nje, vijana wakaenda dodoma wakati wa oral wakaitwa watu ambao hawakufanya written.

Nadhani uzi umo humu ndani.

Ni vizuri kama hawana haja na watoto wa wakulima wawe wanapeana tu kimya kimya kuliko kusumbua watu ili tu ionekane haki imetendeka.
 
Hao jamaa wahuni wanatuzuga TU,me mwaka Jana nilikuwa nawaambia ukweli humuwezi kupata kama huna mtu mzito maana zimeshajaa hizo nafasi watu wanaenda kufanya usaili hewa hata mwaka huu watu wao wameshawaweka,
 
Naam
Bado sijasahau, kile kituko cha ajira walitangaza wakaanza kupeana nje nje, vijana wakaenda dodoma wakati wa oral wakaitwa watu ambao hawakufanya written.

Nadhani uzi umo humu ndani.

Ni vizuri kama hawana haja na watoto wa wakulima wawe wanapeana tu kimya kimya kuliko kusumbua watu ili tu ionekane haki imetendeka.
Bora ww umeyaona pia hao jamaa kichefu chefu
 
Wakubwa hivi picha za wazamin na ya muombaji tunaweka sehem gani.msaada plz
 
Back
Top Bottom