Serikali ilitazame hili swala la kutoa ajira Kwa kubagua kozi, ka vp wangefuta mapema hizo kozi ili watu wasipoteze muda wa kusoma,
Unatoaje ajira Kwa kozi za engineering na science pekee na kuacha kozi zingine? Uhamiaji nao walifanya upumbavu kama huu, eti kozi za arts na social science ni moja tuu sheria.
Pia swala la umri wanazingua sana, mtu amemaliza akiwa na umri mzr, serikali imechelewesha ajira umri ushaenda afu unamuekea mtu kigezo Cha umri wa kulaumiwa nani kama sio serikali?
Serikali ipige marufuku haya mapungufu na vigezo vya ovyo katika utoaji ajira.