Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

Yec mwaka juzi niliapply kupitia portal yao hii hii Sasa nikijaribu kulogin kwa kutumia my previous credentials lakini inaonekana km password haikuwa correct so sikupata option ya kureset password..
 
Mbona kuapload vyeti na details inagoma nyie system inakubali au shida ni nn
Angalia kama file yako ina about 1mb over haiwezi, compress ili iwe chini ya 1mb mkuu. Kama iko hivo check out other problem!
 
Yec mwaka juzi niliapply kupitia portal yao hii hii Sasa nikijaribu kulogin kwa kutumia my previous credentials lakini inaonekana km password haikuwa correct so sikupata option ya kureset password..
Uwe una save password hata ukisahau inakukumbusha !!
 
2019.Kwan kuna uhusiano kati ya mwaka wa kuhitimu na kucertify cheti .Nimeshindwa kuverify kutokana na mazingira niliyopo, Ila nimetuma hivyo hivyo.
Ndiyo uhusiano upo 2019 bado unatoa kauli ya kucertify cheti kana kwamba unalalamika, wakati hata elfu 10 tu mwanasheria anakusaidia ukimuomba ?? Mambo mengine tunafanya uzembe sana.
 
Shida sio pesa ya kucertify shida ni sehemu nilipo
 
Back
Top Bottom