Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

Joined
Dec 31, 2020
Posts
91
Reaction score
134
Anaitajika mwanamke mmoja tu

Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo

Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo inatakiwa awe mcheshi anaeweza kupokea simu za wateja na kuchati nao


Sifa za muhimi

1.Asiwe mzuri kabisa kuepusha dharau kazini na kuepusha kuacha kazi kuanza kuchat mambo yasiyousu kazi

Kwa kifupi tunataka mtu wa kazi

Call 0714689280

Nafasi ni moja tu na mtu aje akiwa yupo vizuri sana

Karibuni sana
 
Back
Top Bottom