The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta.
najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama yeye/wao wameweza iweje wewe ushindwe?
muhimu ujue tu kutumia kompyuta hilo tu linatosha.
Sifa:
Ujue kutumia kompyuta
Uishi mbezi mwisho au mahali ambapo ni rahisi kufika kazini
Uwe unaishi makazi ambayo ni rasmi, (kwenu/kwa mume/mpenzi) kama ni kwako Uwe tayari kwenda kupaonyesha.
Mshahara : 200,000 (Mwezi)
Muda wa kazi Kuingia 8:00am Kufunga 10:00pm.
Mawasiliano na maelekezo mengine yote tukutane PM.
WANAWAKE MNAWEZA : usiogope wala usisite ukija kazini utawaona wenzako wanaofanya kazi kama wewe. Nawaamini sana Wanawake. Karibuni.