Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
KATIBU MUHTASI (SECRETARY) NAFASI 3.

Taasisi ya MUSTLEAD Inatangaza nafasi ya kazi ya katibu muhtasi(Secretary)

SIFA ZA MUOMBAJI:
1. Awe na elimu walau ya kidato cha nne.
2.Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
3. Awe msichana umri miaka 18 na kuendelea
Awe tayari kuishi mazingira ya shule

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/07/2026

Maombi yatumwe Whatsapp kupitia 0788 684 711 au 0764 411 111

[email protected]

MAHALI: Masuguru, Bagamoyo-Msata road, Pwani.


Nisaidie kutuma hii mkuu. Asante
 
Bora hata mimi kuliko wewe uliyerudia la nne! Mimi nina vigezo vyote, nimesoma mpaka form four! umri tu ndio Umenitupa mkono😎
Ni 18 na kuendelea aisee , rusha ndoano uvute ajira hapo
 
Kigezo cha umri n kuanzia 18 kuendelea, sasa ww umri umekutupa vp mkono, tena hiyo ofisi ndio inapenda vikongwe kama ww 🔥
Sidhani kama wateja watavumilia hilo sura lngu la kijambazi plus ukongwe! Kwanini we usiombe we mbona mchumba tu😎
 
Huyu muhaya wa nyakato mwanza umemuanza ,naogopa kuwa sitaweza kukusaidia kwenye hii vita maana hawa ni wajomba zangu 😀
Yule tajiri hawezi gusa hizi nyuzi zetu masikini! Ndiomaana najiachia tu😃 yuko busy na pisi kali za singapore😜
Sema akija nitakimbia! Najua kakaake huwezi niacha nikapewa cosovo!🤣
 
Yule tajiri hawezi gusa hizi nyuzi zetu masikini! Ndiomaana najiachia tu😃 yuko busy na pisi kali za singapore😜
Sema akija nitakimbia! Najua kakaake huwezi niacha nikapewa cosovo!🤣
Dah yule anachamba mpaka mimi mwenyewe namuogopa japo hamfikii yule ndugu yangu mzaramo wa kisiju bwana ziwa
 
Na leo ndio weekend ukajipange zako riverside yule hater anakusubiri😁
Riverside kunanuka afu n kwa wanawake huko, chimbo langu mm niko pekee angu nawala mijimama tuu, nngelisema hilo chimbo ila sitak mana utakuja kunipa Kaswende bure
 
Dah yule anachamba mpaka mimi mwenyewe namuogopa japo hamfikii yule ndugu yangu mzaramo wa kisiju bwana ziwa
Hahahah mi nakwambia anapima na upepo, hivi ulizoom zile video zake? Anakandamiza anantutia aibu ndugu zake wa kanda hiyo🤦🏽‍♀️ Mzaramo wa kisiju ni nani tena🤣
 
Riverside kunanuka afu n kwa wanawake huko, chimbo langu mm niko pekee angu nawala mijimama tuu, nngelisema hilo chimbo ila sitak mana utakuja kunipa Kaswende bure
Kumbe tena pananuka? Ndio maana mwenzio alikjwa ana makasiriko sana ile siku hue d abiashara haikuwa nzuri sana ile siku😅 wewe hii kaswende ntakutumia hata kwenye kiroba tu😎
 
Back
Top Bottom