Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

Hahahah mi nakwambia anapima na upepo, hivi ulizoom zile video zake? Anakandamiza anantutia aibu ndugu zake wa kanda hiyo🤦🏽‍♀️ Mzaramo wa kisiju ni nani tena🤣
Huyo ndugu yangu ni aibu sana ila ndiyo vile mjomba ni mama imebidi nivumilie japo nimemkanya leo kuwa hela ni zake ila huu mchezo aliuanzisha atapata shida sana uwanja wa ndege akisema anakuja nyumbani .

Mzaramo wa kisiju anajiita ZIWA 1 ,yeye na single mother waligombana kabisa hataki kuwasikia ,sasa hivi yuko kwa mdogo wake boda boda ambaye ni mchafu na makoti yanayonuka kabisa
 
Jamani acha tu nicheke😂

Unazidi kunivuruga tu ziwa tena🤭

Hataki kuwasikia singo maza anafukuzia bikra sio😎
 
Eenh! na unajua kutembea kwa codes, mtu akishiba maharage kuelewanana wewe ni ngumu, 😥 kumbe huyo bahari, huyo akivurugwa kidogo tu hasira zote jf, nikajua litajiri kumbe tena yuko kwa boda loh!🤣
Ongea taratibu akija hapa tutamuharibia uzi jamaa yangu
 
Bro Manyanza hizi oppportunity uwe unazileta huku kama utapendezwa,
Hapa ni kwenye jukwaa la Kazi, Tenda na Ajira au ???
 
Unitumie mahindi mengine nipige nayo picha mkuu 😁
Uhalisia au sio ? Maana kuna watu hasa mabinti nyumbani qnaitwa Eliza viwanja na location anajiita Lizzy
 
Uhalisia au sio ? Maana kuna watu hasa mabinti nyumbani qnaitwa Eliza viwanja na location anajiita Lizzy
Huyo atakuwa ana mpango wake kabambe! mimi anitumie tu nitayaanika hapa!😎
 
Back
Top Bottom