MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Huyo ndugu yangu ni aibu sana ila ndiyo vile mjomba ni mama imebidi nivumilie japo nimemkanya leo kuwa hela ni zake ila huu mchezo aliuanzisha atapata shida sana uwanja wa ndege akisema anakuja nyumbani .Hahahah mi nakwambia anapima na upepo, hivi ulizoom zile video zake? Anakandamiza anantutia aibu ndugu zake wa kanda hiyo🤦🏽♀️ Mzaramo wa kisiju ni nani tena🤣
Jamani acha tu nicheke😂Huyo ndugu yangu ni aibu sana ila ndiyo vile mjomba ni mama imebidi nivumilie japo nimemkanya leo kuwa hela ni zake ila huu mchezo aliuanzisha atapata shida sana uwanja wa ndege akisema anakuja nyumbani .
Mzaramo wa kisiju anajiita ZIWA 1 ,yeye na single mother waligombana kabisa hataki kuwasikia ,sasa hivi yuko kwa mdogo wake boda boda ambaye ni mchafu na makoti yanayonuka kabisa
Kwani Dar kuna ziwa au bahari ? Basi changanya mafile utampata chap kama ni ziwa au bahariJamani acha tu nicheke😂
Unazidi kunivuruga tu ziwa tena🤭
Hataki kuwasikia singo maza anafukuzia bikra sio😎
Eenh! na unajua kutembea kwa codes, mtu akishiba maharage kuelewanana wewe ni ngumu, 😥 kumbe huyo bahari, huyo akivurugwa kidogo tu hasira zote jf, nikajua litajiri kumbe tena yuko kwa boda loh!🤣Kwani Dar kuna ziwa au bahari ? Basi changanya mafile utampata chap kama ni ziwa au bahari
Ongea taratibu akija hapa tutamuharibia uzi jamaa yanguEenh! na unajua kutembea kwa codes, mtu akishiba maharage kuelewanana wewe ni ngumu, 😥 kumbe huyo bahari, huyo akivurugwa kidogo tu hasira zote jf, nikajua litajiri kumbe tena yuko kwa boda loh!🤣
wala hana hizo mbavu! yeye makombora ni kwenye nyuzi zake huko! 🤣Ongea taratibu akija hapa tutamuharibia uzi jamaa yangu
Ila jf 🙌wala hana hizo mbavu! yeye makombora ni kwenye nyuzi zake huko! 🤣
Ni jasho!Ila jf 🙌
Nasubiri nivune mahindi na mimi nianze kupiga picha niko viwanjaNi jasho!
Hapa ni kwenye jukwaa la Kazi, Tenda na Ajira au ???Bro Manyanza hizi oppportunity uwe unazileta huku kama utapendezwa,
Hello members
Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia.
I hope hii itawasaidia wahitaji.
Best Regards,
Seran🖤
- Seran
- kazi mbalimbali nafasi nafasi za kazi
- Replies: 2,773
- Forum: Jukwaa la Ajira na Tenda
Shindwawewe hii kaswende ntakutumia hata kwenye kiroba tu😎
Unitumie mahindi mengine nipige nayo picha mkuu 😁Nasubiri nivune mahindi na mimi nianze kupiga picha niko viwanja
Ndio mkuu!Hapa ni kwenye jukwaa la Kazi, Tenda na Ajira au ???
Nisije kukupa kesi bure aise ,utaweza kweli kuyaposti mahindi yenyewe ninayoyasema hapa ?Unitumie mahindi mengine nipige nayo picha mkuu 😁
Anh hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa! we nitumie niyapost tuNisije kukupa kesi bure aise ,utaweza kweli kuyaposti mahindi yenyewe ninayoyasema hapa ?
Au tuishie nyuma ya nondo wote ?
Huyo atakuwa ana mpango wake kabambe! mimi anitumie tu nitayaanika hapa!😎Uhalisia au sio ? Maana kuna watu hasa mabinti nyumbani qnaitwa Eliza viwanja na location anajiita Lizzy