Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
- #21
Ukweli hawapo serious kabisa.😂😂😂 wakakimbia. Watz tumezoea kazi kishkaji
Kuna mmoja kaja kwa orientation na kabla ya orientation tulimuuluza kama anafahamu kutumia pc (office programs) kwenye kazi, kasema anafahamu kutumia computer (office programs) siku tuliomkabidhi computer tukamkuta kaipa mgongo computer.
Tena huyu alikua ninmtu mw
enye umri, si kijana mdogo. Inashangaza vipi mtu mzima, aliyeyaona maisha anashidwa kuwa nkweli hata wa nafsi yake.
Nayaandika hapa kwa sababu nafahamu watanisoma.