Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #21
Ukweli hawapo serious kabisa.πππ wakakimbia. Watz tumezoea kazi kishkaji
Mimi ninakuja
Samahani sana, wewe unaonesha hauna umakini kabisa.Ntakupigia nipo tayari
Pole sana, usijihangaishe, you are already disqualified.Kiwanda kinapatikana wapi
Naona huelewi kua panapotafuta wafanya kazi kila siku kuna ukuaji usio wa kawaida.kiuhalisia wewe unaonekana ni tapeli uliyejificha nyuma ya mgongo wa dini. Kila siku unatafuta wafanyakazi. Ajiri vijana acha ujanjaujanja. vitu vingine watajifunzia kazini hukohuko.
Abdul,Naona huelewi kua panapotafuta wafanya kazi kila siku kuna ukuaji usio wa kawaida.
Abraar tunajivunia kuajiri watu bila kutazama cv zao. Ubora wa kazi ya mtu utajionesha kazini. Tunajivunia hata tunapobaini kua huna ujuzi wa kazi tunakupa fursa ya kujifunza ukiwa kazini.
Unaweza kututuita upendavyo,haitukatiShivtamaa sipokuq inatufa n ya tuobgeze juhudi, tunafahamu kt I usio na matunda haupopolewi.
Elewa tu, Abraar hatutoi samaki tunatoa nyavu.
Kama kutafuta kwetu wafanyakazi kunakukera, jipange kukereka sana kwa kua tuna program yetu inayohitaji wafanya kazi wasiopungua 100.
Ona vitu vya kisasa hivyo...View attachment 2344792
Please, punguza ukali.Abdul,
Achana nae huyo, ni mjinga tu.
Ooh, safi sana. Tena atakushukuru maisha.Natamani nimpe mtu hii namba aje sifa zote anazo ila moja ambayo inanifanya niseme no acha nilinde heshima yangu kwako ndugu