BENEDICT ISEME
Member
- Jul 14, 2021
- 23
- 24
Dah!kidogo nilie inasikitisha sana yan dar mtu wa dawa alipwe hela ya housegrl tena mtoa dawa wa afya ingekuwa ni mm naujuzi wa hiyo kozi nakuja kukosombea vidawa vyako vyote napeleka acha ning'oe watu meno tu.NAFASI YA KAZI
Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP.
Duka lipo Ubungo Kibangu.
Conditions
1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo)
2. Salary - 120,000/= kwa mwezi.
3. Conditions nyengine zitakuwa discussed na boss.
Contacts:
0653776099
0620249911