NAFASI YA KAZI

NAFASI YA KAZI

Joined
Jul 14, 2021
Posts
23
Reaction score
24
NAFASI YA KAZI
Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP.
Duka lipo Ubungo Kibangu.

Conditions
1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo)

2. Salary - 120,000/= kwa mwezi.

3. Conditions nyengine zitakuwa discussed na boss.

Contacts:
0653776099
0620249911
 
Duu kweli $50 analipwa msomi kweli. Hii hela hata Malaya nje humpati kabisa yaani hata show time Hakuna hii hela. Labda $75-300 unampata kulala naye 24hrs Ni $500+ wenzetu wanajua na wanathamini kazi zao. Yaani ukiwa naye hutojutia hela yako na kesho utarudi na ukimfurahisha unarudishiwa hela yako.
 
NAFASI YA KAZI
Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP.
Duka lipo Ubungo Kibangu.

Conditions

1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo)

2. Salary - 120,000/= kwa mwezi.

3. Conditions nyengine zitakuwa discussed na boss.

Contacts:
0653776099
0620249911
Dah!kidogo nilie inasikitisha sana yan dar mtu wa dawa alipwe hela ya housegrl tena mtoa dawa wa afya ingekuwa ni mm naujuzi wa hiyo kozi nakuja kukosombea vidawa vyako vyote napeleka acha ning'oe watu meno tu.
 
Tatizo la watanzania ndio maana hatuendelei mtu kaweka bandiko la kazi ww kama unaona hela ndogo acha wataomba wenye uhitaji aliyeturoga kafa kila mtu anataka kazi ya million moja na wengine laki 5 kuna kazi nyingine ni za kuanzia maisha sio za kutoboa kimaisha mtu anataka kazi ya kwanza tu atoboe

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom