Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tanzania ni Mojawapo ya Nchi inayopenda kuongozwa Kwa matukio, yaani akitokea MTU hasa MTU Mwenye njaa zake Huko basi mtatengenezewa tukio mtajiona nyie NDIO nyie.
Miezi michache iliyopita Mwakyembe na mwandishi wake walijitokeza hadharani na kuja na allegations kibao, mitandao yote ikabeba hio NDIO ikawa Agenda, wale ambao tulikuwa na mtazamo tofauti tukapewa Kila jina BAYA.
Upepo umepita, Leo nafasi ya KVP (KEY AND VULNERABLE PEOPLE) OFFICER imetangazwa kwenye mradi mpya wa Global Fund sijasikia wale wapiga Zumari wakipiga kelele, Tena unaweza kukuta NDIO applicants wa Kwanza.
Kuna mengi yanayobebwa na kivuli Cha KVP, SEMA hatutaki kuambiwa ukweli tukishajazwa ujinga.
KVP: Key populations — sex workers (SWs), gay men and other men who have sex with men (MSM), transgender people (TG), and people who inject drugs (PWID) — are disproportionately affected by HIV.
Na TANZANIA tunayo guideline kabisa, ninachosema ni kwamba, Mwakyembe na nyie wapiga Zumari mlikosea kukashifu watu wakati tukieleza kuwa SERIKALI YA CCM ndio inayochagiza haya Mambo.
Tanzania-KP-GUIDELINE-1.pdf - Global HIV Prevention Coalition