Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza
natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia;
Awe na umri kuanzia 22-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na kazi halali ya kufanya
Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh
Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa.


Sifa zangu
Sina mke wala mtoto
Ni mwajiriwa pia mfanyabiashara
Ni mweusi sio mrefu sana
Mengine njoo PM
 
Waambie kabisa wewe ni kichwa maji. Dakika mbili mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…