Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

Attachments

  • Screenshot_20240428-185040.png
    Screenshot_20240428-185040.png
    486.7 KB · Views: 4
Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza
natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia;
Awe na umri kuanzia 22-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na kazi halali ya kufanya
Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh
Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa.

Sifa zangu
Sina mke wala mtoto
Ni mwajiriwa pia mfanyabiashara
Ni mweusi sio mrefu sana
Mengine njoo PM
Unahela au uzinguaji tu
 
Potelea mbali.....uko wapi!!!!
 
Kuna liji mama hapa jirani yangu linasema kama mshahara wako Kwa mwaka unafika milioni miamoja au zaidi litakuwa tayari.
 
Back
Top Bottom