Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Bila kupoteza mda twende kwenye mada.

Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo..

Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo..

1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana walishangilia baada ya Kukiuzulu..

2. Ni Rais mwenye asili ya Uingereza ukilinganisha na mshindani wake..

3. Ni Mwanamke jasiri so she will make a good pair with Madam President SSH..

4.Waingereza wa Kawaida wanapendelea Liz Truss tofauti na wale mabwanhenye.

5. Wahindi hawaaminiki kwenye mambo magumu kama Vita, kiufupi wao ni mdebwedo,so huyo mhindi abakie kuwa Chancellor of Exchaquer.

Nini mtizamo wako? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-133656.png
    Screenshot_20220725-133656.png
    86.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220725-141550.png
    Screenshot_20220725-141550.png
    36.7 KB · Views: 12
Bila kupoteza mda twende kwenye mada.

Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo..

Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo..

1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kuwanyoonya Russia ndio maana walishangilia baada ya Kukiuzulu..

2. Ni Rais mwenye asili ya Uingereza ukilinganisha na mshindani wake..

3. Ni Mwanamke jasiri so she will make a good pair with Madam President SSH..

4. Wahindi hawaaminiki kwenye mambo magumu kama Vita, kiufupi wao ni mdebwedo..

Nini mtizamo wako? [emoji116]
Nawashauri wasimchague mwanamke maana ataharibu nchi kama Yule aliyeko afrika mashariki akileta ushabiki wa kuchukia urusi ataondoka tena.
 
Tumalize danadana za wanao lamba asali kwa tani ya na kwa urefu wa kamba ziliko fika ndio tushughulike na ya wengine
 
Wasilete Mwanamke.. Ata waongoza kw danganya toto.. Awaambie napandisha mshahara wa kima cha chini kwa asilimia 95... Halafu wengine kumbe ni. 0. 5%..
Common Waingereza wanamtaka huyo huyo Mwanamke Liz Truss na sio huyo mhindi wenu.
 
Wasilete Mwanamke.. Ata waongoza kw danganya toto.. Awaambie napandisha mshahara wa kima cha chini kwa asilimia 95... Halafu wengine kumbe ni. 0. 5%..
Hata Huyo mhindi Mwanaume Amesema ataongoza kama alivyokuwa Margreth Thatcher ambae alikuwa PM mwanamke..

Utaahira wako Sio wa Waingereza.
 
Hata Huyo mhindi Mwanaume Amesema ataongoza kama alivyokuwa Margreth Thatcher ambae alikuwa PM mwanamke..

Utaahira wako Sio wa Waingereza.
Magreth aliiongoza UK kwa mkono wa chuma, binafsi ningependa Liz Truss Rish simuamin hata kidogo na hii severe global financial crisis sidhan kama Rish ni msaada kwa waingereza.
 
Waingereza kwenye hiyo nafas hawawez kumpa mhindi waingereza pure ndio huongoza hiyo nafasi waingereza wako razi wakupe nafasi yoyote ukiwa mgeni ila s nafasi ya wazir mkuu
 
Namba 3, imewakilisha reasoning halisi ya watz wengi😂

Imenikumbusha enzi ya JAMUKAYA anatafuta kipindi cha kwanza, ikawa kwenye kampeni zake wanasema chagua raisi ana sura ya kijana na ikawa mpaka vijiweni hiyo ni hoja😂
 
Ni kwa nini Waingereza Waziri Mkuu anateuliwa na chama hapigiwi kura na Wananchi wote?
 
Back
Top Bottom