Bila kupoteza mda twende kwenye mada.
Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo..
Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo..
1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana walishangilia baada ya Kukiuzulu..
2. Ni Rais mwenye asili ya Uingereza ukilinganisha na mshindani wake..
3. Ni Mwanamke jasiri so she will make a good pair with Madam President SSH..
4.Waingereza wa Kawaida wanapendelea Liz Truss tofauti na wale mabwanhenye.
5. Wahindi hawaaminiki kwenye mambo magumu kama Vita, kiufupi wao ni mdebwedo,so huyo mhindi abakie kuwa Chancellor of Exchaquer.
Nini mtizamo wako? 👇