Bwana Mungu wa Mbinguni akuongoze.Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Usitegemee kuna sehemu itakosa watu never....![emoji23][emoji23][emoji23]Swali la msingi ni vipi kuhusu mitaa na vijiji ambavyo havijaombewa kabisa na vipi kuhusu mitaa iliyoombewa na mamia ya watu je watajazia palipokosa watu?
Kuna mijitu ilisema ina uhakika majina yatatoka leoMajina tutegemee wiki ijayo
[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja kesho nikukumbusheMateso haya mwisho tarehe 8.7.2022
Kesho mambo kwa air
Mkuu mimi kipindi natafuta kazi waliokuwa kwenye paneli laiti wangepokea rushwa Mimi ningekuwa jobless ila wao walikuwa free why Mimi nisifanye free watot wa maskini nao wasipate nafasiMkuu ukiletewa pesa utakataa ?
Amina mkuu japo najua nitaleta ugomvi pindi niliozoeana nao wakikosaUbarikiwe na Bwana!
Amina mtu wa munguBwana Mungu wa Mbinguni akuongoze.
Ubarikiwe sana.
Unakuta mtu unajuana naye alafu vigezo na interview kapiga vizuri asipopita ndio utakuwa wewe unatafuta chukiAmina mkuu japo najua nitaleta ugomvi pindi niliozoeana nao wakikosa
Hahahaha daah nimecheka.Nina jamaa angu alikuwa bonge kidogo japo siyo Sana alikuwa kila akirud baada ya kazi anaharisha.. nadhani itakuwa ni fat.
Alafu alipungua mwili
Tafuta kula tunda kimasiharaUzi umefika page ya 100 nadhani huu ndio uzi mkubwa zaidi katika jukwaa hili.
Nikimaanisha katika jukwaa la tenda na ajira na sio kijumla.Tafuta kula tunda kimasihara
Yeye kamanisha jukwaa hili la ajiraTafuta kula tunda kimasihara
Tafuta aptitude pccb nahis ule ndio ulikuwa mkubwa sana na ule wa kazi polisi ambao since late last year hadi leo upo aliveNikimaanisha katika jukwaa la tenda na ajira na sio kijumla.
Asante kwa kufafanuaHivi hii issue ya watendaji kata sijui mtaa kuhusika katika zoezi la usahili mmeitoa wapi?
Wakati NBS wao walikwishasema kwamba watakaohusika kwenye kufanya usaili ni wataalamu kutoka chuo cha takwimu...
Nilivyoelewa mimi katika barua yao ya juzi ni kwamba watendaji wa mtaa na kata watajumuika katika yale mafunzo ya siku 21 kwa nafasi zao ili waweze kusimamia vyema zoezi la sensa katika maeneo yao.... hii ina maana watendaji na wale waombaji hawana tofauti kwenye ufahamu wao kuhusu zoezi, sasa kama ndivyo wanawezaje kukufanyia usaili?
Acheni kusumbua watendaji maana na wao hawajui chochote ila tu wao wamepewa gurantee ya kukomba ile 1M bila milolongo.
Msipokuwa makini mtaliwa hizo kumi zenu na msijue mnazidai vipi.
Orodhesha hapaZipo aisee niamini mimi