Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Bwana Mungu wa Mbinguni akuongoze.
Ubarikiwe sana.
 
Hivi hii issue ya watendaji kata sijui mtaa kuhusika katika zoezi la usahili mmeitoa wapi?

Wakati NBS wao walikwishasema kwamba watakaohusika kwenye kufanya usaili ni wataalamu kutoka chuo cha takwimu...

Nilivyoelewa mimi katika barua yao ya juzi ni kwamba watendaji wa mtaa na kata watajumuika katika yale mafunzo ya siku 21 kwa nafasi zao ili waweze kusimamia vyema zoezi la sensa katika maeneo yao.... hii ina maana watendaji na wale waombaji hawana tofauti kwenye ufahamu wao kuhusu zoezi, sasa kama ndivyo wanawezaje kukufanyia usaili?

Acheni kusumbua watendaji maana na wao hawajui chochote ila tu wao wamepewa gurantee ya kukomba ile 1M bila milolongo.

Msipokuwa makini mtaliwa hizo kumi zenu na msijue mnazidai vipi.
 
Asante kwa kufafanua
 
Back
Top Bottom