Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Unakuta mtu unajuana naye alafu vigezo na interview kapiga vizuri asipopita ndio utakuwa wewe unatafuta chuki
Unajua kama itakuwa ni haki yake kupsta atapata ila sio kumbeba sensa ni zoezi zito Sana Yani kosa za kuacha kumwesabu mtu ni kupoteza taifa na ulimwengu kwenye mipango ya maendeleo
 
maswali ya usahili
sensa ni nini? , ni swali rahisi ila litakata wengi

Umejiandaaje /jipangaje kufanikisha zoezi la
sensa?

Je unauzoefu wowote ktk kukusanya takwimu yoyote? swali rahisi ila lita wabwaga wengi ( unaweza jibu Aghalabu nimeshawahi kusanya takwimu za mifugo nyumbani , pia shuleni kukusanya idadi ya wanafunzi wenzangu, ila kupitia semina nitajifunza na kupata maarifa sahihi ili kukamilisha zoezi hili la sensa)
 
NBS hawako na manpower ya kucover vijiji na mitaa yote ya Tanzania.
 
Unajua kama itakuwa ni haki yake kupsta atapata ila sio kumbeba sensa ni zoezi zito Sana Yani kosa za kuacha kumwesabu mtu ni kupoteza taifa na ulimwengu kwenye mipango ya maendeleo
Hapo wangeupa tu mfumo uchambue mbona dakika chache watu weshajua mbivu na mbichi, kigezo kikubwa ni elimu ya sekondari, hapo unauagiza tu nichukulie kwanza Div 1 then 2 kisha 3 na mwisho 4 kama watakuwa hawajatimia...[emoji23]
 
Hapo asifikiriwe na afikiriwe kutaenda na watu wengi kma ni kweli asee [emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…