Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kilichobadilika ni mfumo tu wa kutoka sensa ya analojia na kuwa sensa ya kidigitali lkn taaratibu zote za ufanyikaji wa Sensa ni zilezile. Tuache kuzungumza/kuongea tusiyoyajuwa.
Kwahiyo watendaji hawahisiki kwenye huo usaili mkuu??
 
Aisee umenifungua macho ndgu yangu.
Mtendaji alikua anaenda kulamba bia za bure bure tu.
Namba yake ilikua tayari hapa kumbe nae anasubiri maelekezo toka juu tu.
 
Kwahiyo watendaji hawahisiki kwenye huo usaili mkuu??
Mwanzoni taarifa zilisema usaili utasimamiwa na watu wa takwimu kupitia kwenye kata na wilayani, lkn mpaka kufikia muda huu siku zimeisha tayari, lolote laweza kutokea. Mana hata hao watendaji mpaka muda huu hawana tofauti na wewe hawajui chochote kinachoendelea.
 
Sio kweli,watendaji wana taarifa sema labda wako wewe hataki kukwambia ukweli
Ila majina hayatoki hata wiki ijayo kuanzia tarehe 20 ukoooo.
 
Aisee nimekomboka ndgu yangu.
Mi nilidhani watendaji ndo kila kitu, wao ndo wameshika fyekeo.
 
Aisee nimekomboka ndgu yangu.
Mi nilidhani watendaji ndo kila kitu, wao ndo wameshika fyekeo.
Hata kama usaili ungefanyika kata bado walikuwa hawana mandate ya kuamua yupi achagukiwe au yupi asichaguliwe, Usaili ungesimamiwa na watu wa takwimu yeye angekuwepo kwenye panel kama mwenyeji wao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…