Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.

wataalamu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya kata tz nzima. Huku kwetu halmashauri ina kata 37. Na pale halmashaur kuna watakwimu 2 hata wakichukua hao wa chuo cha takwimu bado kwa tz nzima idadi yao itakuwa ndogo tu.

Weo bado ndio maboss kwenye hii ishu ya usaili.
Unajiongeza au umeitoa NBS??? na wakati wanasema hiyo geresha hawakujua kama haiwezekani kufanya usaili nchi nzima?
 
Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Bwana akubariki watu wengi hawana empathy, hebu simamia ili vijana wapate japo mtaji wa kufanya kitu fulani.
 
We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
Kumbe hakuna unalolijuwa hata kiswahili kinakushinda. Hivi ni mauzui au maudhui? Hivi ni makalani au makarani?
 
Yaan wewe ndo zezeta, NBS wamesema wapi kwamba wamerasimisha zoezi la usaili kwa watendaji? Au ndo kujiongeza kwa ujinga?

Taarifa sahihi zilizotolewa na NBS ni kwamba watatumia wataalam kutoka chuo cha takwimu na baadhi ya maofficers watakaoteuliwa.

Au unapiga ramli??
Asante kwa kunisaidia kiongozi, huyu jamaa ni mgumu wa kuelewa.
 
Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.

wataalamu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya kata tz nzima. Huku kwetu halmashauri ina kata 37. Na pale halmashaur kuna watakwimu 2 hata wakichukua hao wa chuo cha takwimu bado kwa tz nzima idadi yao itakuwa ndogo tu.

Weo bado ndio maboss kwenye hii ishu ya usaili.
WEO/VEO hili zoezi hawana mandate ya kuchagua au kutochagua waombaji, kama mlishawahonga pesa ili wawapitishe, basi tambueni pesa zenu zimeliwa na pengine panga likawapitia vilevile. Hakuna WEO/VEO mpaka sasa anayejuwa huu mchakato umefikia hatua gani kwa wasimamizi na makarani, kama wanawaeleza taarifa za NBS basi wanawadanganya.
 
We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
Kama ulihonga pesa ili WEO/VEO akupitishehii imekula kwako na pengine panga likakupitia. Hakuna sehemu iliyosema kwamba watendaji ndio watakaosimamia usahili muwe mnaelewa.
 
akuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
 
Hapana umeongea ukweli mchungu sana lakini wale vijana wa mtendaji usisahau jina langu hawatakuelewa na wataelewa 26.07.2022 majina yakitoka
 
Na iwe hivyo asee kazi za kupitia halmashauri uwa miyeyusho sana mi nilikosaga mdh kizembe sana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
akuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
Watajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....
 
Comrade hivi kulikuwa na sehemu ya kuambatanisha kadi ya CCM?
 
Hapo hata mimi nashangaa et CCM?
Hakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah watatafutana chini kwa chini wapeane but hata ikitokea hivo I think itakuwa very rare sana uhalisia watu waliotuma Applications ndo wana chance ya asilimia mia kupewa hizo kazi bila longo longo kikubwa Subira tuu...Lenye mwanzo halikosi mwisho pia.
 
Hao si ndio waliodanganywa na WEO/VEO kwamba wao ndio watakaopitisha majina, hao WEO wenyewe mtakuwa nao kwenye semina za usimamizi na ukarani hakuna wanalolijuwa mpaka sasa.
 
Watajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....
apo inakuja directly connection mpka kwa mkurugenz
 
Hakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah watatafutana chini kwa chini wapeane but hata ikitokea hivo I think itakuwa very rare sana uhalisia watu waliotuma Applications ndo wana chance ya asilimia mia kupewa hizo kazi bila longo longo kikubwa Subira tuu...Lenye mwanzo halikosi mwisho pia.
kaz inatakiwa ifanyike kwa uwered auwez kumchukua mtu ambae ayupo katka itikadi yako lazma atafanya kwa matakwa yake sensa ya mwaka huu ni kubwa sanaa
 
Hapana umeongea ukweli mchungu sana lakini wale vijana wa mtendaji usisahau jina langu hawatakuelewa na wataelewa 26.07.2022 majina yakitoka
watendaji wamealibu sana sana katika postcode imepelekea hasara kubwa serikali ikabid mpka waajiri watu wengne ili wakamilishe sasa na katka sensa icho kitu akitakiw kujiludia
 
Back
Top Bottom