Unajiongeza au umeitoa NBS??? na wakati wanasema hiyo geresha hawakujua kama haiwezekani kufanya usaili nchi nzima?Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.
wataalamu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya kata tz nzima. Huku kwetu halmashauri ina kata 37. Na pale halmashaur kuna watakwimu 2 hata wakichukua hao wa chuo cha takwimu bado kwa tz nzima idadi yao itakuwa ndogo tu.
Weo bado ndio maboss kwenye hii ishu ya usaili.
Bwana akubariki watu wengi hawana empathy, hebu simamia ili vijana wapate japo mtaji wa kufanya kitu fulani.Mkuu mimi mwenyewe ila sitamwingiza mtu kwa kumchomeka nitasimamia haki ila hivi vichali vya UVCCM vinataka mbereko this time wacha mwenye bahati apate haki nitaisimamia vilivyo
Kumbe hakuna unalolijuwa hata kiswahili kinakushinda. Hivi ni mauzui au maudhui? Hivi ni makalani au makarani?We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
Asante kwa kunisaidia kiongozi, huyu jamaa ni mgumu wa kuelewa.Yaan wewe ndo zezeta, NBS wamesema wapi kwamba wamerasimisha zoezi la usaili kwa watendaji? Au ndo kujiongeza kwa ujinga?
Taarifa sahihi zilizotolewa na NBS ni kwamba watatumia wataalam kutoka chuo cha takwimu na baadhi ya maofficers watakaoteuliwa.
Au unapiga ramli??
WEO/VEO hili zoezi hawana mandate ya kuchagua au kutochagua waombaji, kama mlishawahonga pesa ili wawapitishe, basi tambueni pesa zenu zimeliwa na pengine panga likawapitia vilevile. Hakuna WEO/VEO mpaka sasa anayejuwa huu mchakato umefikia hatua gani kwa wasimamizi na makarani, kama wanawaeleza taarifa za NBS basi wanawadanganya.Hiyo ya wataalamu ni geresha tu. Wataalamu wa takwimu na idadi ya kata tz nzima.
wataalamu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya kata tz nzima. Huku kwetu halmashauri ina kata 37. Na pale halmashaur kuna watakwimu 2 hata wakichukua hao wa chuo cha takwimu bado kwa tz nzima idadi yao itakuwa ndogo tu.
Weo bado ndio maboss kwenye hii ishu ya usaili.
Kama ulihonga pesa ili WEO/VEO akupitishehii imekula kwako na pengine panga likakupitia. Hakuna sehemu iliyosema kwamba watendaji ndio watakaosimamia usahili muwe mnaelewa.We jamaa unajidai mjuaji na unaanika upumba.vu wako tu humu kwa watu walio vyema upstairs, NBS hawako na manpower ya kusaili mitaa na vijiji vyote Tanzania, pia tambua hata wataoyapublish hayo majina ni haohao wa ngazi ya kata ambao wamepelekwa mafunzo maalumu ya kuingia kwenye mfumo wa NBS kupitia na kuchakata maombi ya makalani, wasimamizi wa mauzui na wasimamizi wa TEHAMA, unaposema mchakato utafanywa na NBS ni sawa lakini sasa tambua kwamba NBS wamekasimisha hizo powers zao kwa watendaji....ukweli mchungu [emoji28]
Hapana umeongea ukweli mchungu sana lakini wale vijana wa mtendaji usisahau jina langu hawatakuelewa na wataelewa 26.07.2022 majina yakitokaakuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
Na iwe hivyo asee kazi za kupitia halmashauri uwa miyeyusho sana mi nilikosaga mdh kizembe sanaakuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
Kama umegundua kitu form 4 wengi walioomba wanatamani majina yachujwe na WEO ambao wengi ni form 4 wenzaoKama ulihonga pesa ili WEO/VEO akupitishehii imekula kwako na pengine panga likakupitia. Hakuna sehemu iliyosema kwamba watendaji ndio watakaosimamia usahili muwe mnaelewa.
Watajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....akuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
Hapo hata mimi nashangaa et CCM?Watajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....
Comrade hivi kulikuwa na sehemu ya kuambatanisha kadi ya CCM?akuna usairi utakao fanyika ni kuitwa kata na moja kwa moja kuenda katika semina kama mnabisha bisheni mwendo wa kama sensa tu na watu wengi wa ccm ndo watakaopewa kipaombele ili kazi isialibike kama postcode sababu watu walikua wanawekwa na watendaji na wamealibu pakubwa kwahyo now awapew mpini
Hakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah watatafutana chini kwa chini wapeane but hata ikitokea hivo I think itakuwa very rare sana uhalisia watu waliotuma Applications ndo wana chance ya asilimia mia kupewa hizo kazi bila longo longo kikubwa Subira tuu...Lenye mwanzo halikosi mwisho pia.Hapo hata mimi nashangaa et CCM?
Basi wanapaswa kubadili mawazo, muda ndio utakao amua, ipi mbivu na ipi mbichi?Kama umegundua kitu form 4 wengi walioomba wanatamani majina yachujwe na WEO ambao wengi ni form 4 wenzao
Hao si ndio waliodanganywa na WEO/VEO kwamba wao ndio watakaopitisha majina, hao WEO wenyewe mtakuwa nao kwenye semina za usimamizi na ukarani hakuna wanalolijuwa mpaka sasa.Hakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah watatafutana chini kwa chini wapeane but hata ikitokea hivo I think itakuwa very rare sana uhalisia watu waliotuma Applications ndo wana chance ya asilimia mia kupewa hizo kazi bila longo longo kikubwa Subira tuu...Lenye mwanzo halikosi mwisho pia.
apo inakuja directly connection mpka kwa mkurugenzWatajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....
kaz inatakiwa ifanyike kwa uwered auwez kumchukua mtu ambae ayupo katka itikadi yako lazma atafanya kwa matakwa yake sensa ya mwaka huu ni kubwa sanaaHakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah watatafutana chini kwa chini wapeane but hata ikitokea hivo I think itakuwa very rare sana uhalisia watu waliotuma Applications ndo wana chance ya asilimia mia kupewa hizo kazi bila longo longo kikubwa Subira tuu...Lenye mwanzo halikosi mwisho pia.
Elimu, Elimu, Elimu.apo inakuja directly connection mpka kwa mkurugenz
watendaji wamealibu sana sana katika postcode imepelekea hasara kubwa serikali ikabid mpka waajiri watu wengne ili wakamilishe sasa na katka sensa icho kitu akitakiw kujiludiaHapana umeongea ukweli mchungu sana lakini wale vijana wa mtendaji usisahau jina langu hawatakuelewa na wataelewa 26.07.2022 majina yakitoka