Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Punguza ujuaji utapakatw@ alafu wewe wakiume tabia za kusuta watu ni za kike ,linda m@rind@ yak0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haha kweli aisee
 
Ndugu zangu, hawa vijana wametoka chuo Cha DIT dar, wamekuja kwa kazi ya kuwasha tablet zote na kuziwekea ulinzi pamoja na software wezeshi...

Kwahyo muondoe hofu[emoji1787]
Mkuu hawa jamaa wanatoa hatma yetu lini maana wanazidi kutuweka
 
Hakuna mtendaji mwenye taarifa za NBS mpaka sasa, kwa kifupi wewe na mtendaji hakuna anayeelewa kipi kinaendelea NBS.
Jipe moyo,watendaji kata wapo seminani saizi,endelea kubisha ili ujipe moyo ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
 
Hata kama usaili ungefanyika kata bado walikuwa hawana mandate ya kuamua yupi achagukiwe au yupi asichaguliwe, Usaili ungesimamiwa na watu wa takwimu yeye angekuwepo kwenye panel kama mwenyeji wao tu.
Soma taaarfa ya mwisho ndio ujue watendaji wana nguvu juu ya makarani, shida yenu hamna mahusiano mazuri uko serikali za mitaa sio maana unapinga sana
 
Binafsi naamini usaili utasimamiwa na watu wanaojua mbo ya takwimu hivyo watendaji watakuwa hawana mamlaka yoyote katika kuwachagua watu. Ila kama NBS wataamua kuwaachia mamlaka watendaji wa kata basi watakiwa wanacheza mchezo hatri sana kwa zoezi muhimu kama la sensa.

Wacha tuone.
Kwani miaka yote ilikuaje?
 
watendaji wamealibu sana sana katika postcode imepelekea hasara kubwa serikali ikabid mpka waajiri watu wengne ili wakamilishe sasa na katka sensa icho kitu akitakiw kujiludia
Kama ulifanya kazi za postcode utajua watendaji hawakuhusishwa kwenye zoezi hili. Wamekuja kuhusishwa kwenye zoezi la uhakiki wa hizo anuani
 
Jipe moyo,watendaji kata wapo seminani saizi,endelea kubisha ili ujipe moyo ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Mkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa..Wao hawajui chochote kinachoendelea ila ratiba yao wametumiwa kwamba wajiandae kwa semina hiyo tar.29 hadi tar 18 August..

Hivyo nakuomba ukae kwa kutulia majina yatatolewa na NBS then waratibu wa sensa waliopo mafunzoni sasa hivi mkoani wakiwemo maafisa mipango na Elimu Kata wakishirikiana na Watendaji watachuja majina na kuyapost katani tayari kwa kuanza semina hiyo tar.29

Hivyo muda wowote kuanzia leo tujiandae kwa lolote kutoka huko NBS.
 
Hahaha...hii ramli yako ni ile ya TAWILE kabisa
 
Kama ulifanya kazi za postcode utajua watendaji hawakuhusishwa kwenye zoezi hili. Wamekuja kuhusishwa kwenye zoezi la uhakiki wa hizo anuani
watendaji wamehusika pakubwa kuingiza watu wao ambao hawajui mitaa mpaka ikapelekea kushindwa kufanya kaz na kualibu mzee
 
Mkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa...
Hawa unaosema wapo mafunzoni ndio watakaokuja kufanya usaili wa makarani mbona ratiba inaonyesha watamaliza mafunzo tarehe 26/7 kwahyo usaili utafanyika tarehe 27 na 28? Ili 29/7 wahudhurie semina?.

Plz ufafanuzi unahitajika hapo.
 
watendaji wamehusika pakubwa kuingiza watu wao ambao hawajui mitaa mpaka ikapelekea kushindwa kufanya kaz na kualibu mzee
Sio watendaji unatakiwa uelewe basi,tatizo ujuaji ni mwingi.

Halmashauri ndio ziliamua kuweka utaratibu huo vijana wafanye kazi kwa kundi moja,mnatoka hapo mnaenda kitunda kufanya kazi na sio watendaji, hili ndio kosa walipo gundua kosa lao ndio wakawaita watendaji wachukua watu toka mtaani wafanye kazi kwenye mitaa yao na uhakiki pia wamefanya ivyo.

Wewe una personal ishu na watendaji tu hamna kingine.
 
Back
Top Bottom