Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wekeni mabando ya kutosha kwenye simu zenu maana pdf ni kubwa sana
Great point.Maswali kama haya ndio yanafanya tutake kujua Elimu za baadhi ya wachangiaji humu
Mkuu em weka sawa hili la watendaji watu watauana humu!!Ndugu zangu, hawa vijana wametoka chuo Cha DIT dar, wamekuja kwa kazi ya kuwasha tablet zote na kuziwekea ulinzi pamoja na software wezeshi...
Kwahyo muondoe hofu[emoji1787]
kwani ujira ni shiling ngapiNikikumbuka dumange hoi eeeeeee[emoji22][emoji22][emoji22]
Tutapeana presha ela hatujaishika ila bajeti yake tayar since may 2022
watendaji wanamamb ya kingese sana mzeeTwende mbele halafu turudi nyuma, Makinda yanaupiga mwingi sana kwenye hii issue yaan anahangaika kuukwepesha huu mchongo kwa watendaji.
Anajua ushamba wa watendaji.
Eti kuna wanasema uishi nao vizuri Sasa hata Kama ukaishi nao vizuri wanadhani watapewa hao....sema wanaowatetea watendaji hawajui mengi juu yao.watendaji wanamamb ya kingese sana mzee
Eti kuna wanasema uishi nao vizuri Sasa hata Kama ukaishi nao vizuri wanadhani watapewa hao....sema wanaowatetea watendaji hawajui mengi juu yao.
Hakika jina lako lipo. Jipange kwa maswali ya sensa siku ya usailiAaah! Mm nimeshakata tamaa kwa Sasa hata sihangaiki maana nikuwekana tu