Kuna yule mpumbavu alikuwa anamtisha mwanzo sijui sahiv yupo wapi...Huwa nakuelewa Sana haujawahi kutuangusha Kwa taarifa za ukweli na uhakika especially swala Hili nyeti linalotjumiza vichwa ubarkiwe sana
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Alipotea mwenyewe bila kupotezwaKuna yule mpumbavu alikuwa anamtisha mwanzo sijui sahiv yupo wapi...
haha kweli aiseePunguza ujuaji utapakatw@ alafu wewe wakiume tabia za kusuta watu ni za kike ,linda m@rind@ yak0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hawa jamaa wanatoa hatma yetu lini maana wanazidi kutuwekaNdugu zangu, hawa vijana wametoka chuo Cha DIT dar, wamekuja kwa kazi ya kuwasha tablet zote na kuziwekea ulinzi pamoja na software wezeshi...
Kwahyo muondoe hofu[emoji1787]
Jipe moyo,watendaji kata wapo seminani saizi,endelea kubisha ili ujipe moyo ila ukweli utabaki kuwa ukweli.Hakuna mtendaji mwenye taarifa za NBS mpaka sasa, kwa kifupi wewe na mtendaji hakuna anayeelewa kipi kinaendelea NBS.
Soma taaarfa ya mwisho ndio ujue watendaji wana nguvu juu ya makarani, shida yenu hamna mahusiano mazuri uko serikali za mitaa sio maana unapinga sanaHata kama usaili ungefanyika kata bado walikuwa hawana mandate ya kuamua yupi achagukiwe au yupi asichaguliwe, Usaili ungesimamiwa na watu wa takwimu yeye angekuwepo kwenye panel kama mwenyeji wao tu.
Kwani miaka yote ilikuaje?Binafsi naamini usaili utasimamiwa na watu wanaojua mbo ya takwimu hivyo watendaji watakuwa hawana mamlaka yoyote katika kuwachagua watu. Ila kama NBS wataamua kuwaachia mamlaka watendaji wa kata basi watakiwa wanacheza mchezo hatri sana kwa zoezi muhimu kama la sensa.
Wacha tuone.
Kama ulifanya kazi za postcode utajua watendaji hawakuhusishwa kwenye zoezi hili. Wamekuja kuhusishwa kwenye zoezi la uhakiki wa hizo anuaniwatendaji wamealibu sana sana katika postcode imepelekea hasara kubwa serikali ikabid mpka waajiri watu wengne ili wakamilishe sasa na katka sensa icho kitu akitakiw kujiludia
Maswali kama haya ndio yanafanya tutake kujua Elimu za baadhi ya wachangiaji humuKwani miaka yote ilikuaje?
Mkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa..Wao hawajui chochote kinachoendelea ila ratiba yao wametumiwa kwamba wajiandae kwa semina hiyo tar.29 hadi tar 18 August..Jipe moyo,watendaji kata wapo seminani saizi,endelea kubisha ili ujipe moyo ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Hahaha...hii ramli yako ni ile ya TAWILE kabisaMkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa..Wao hawajui chochote kinachoendelea ila ratiba yao wametumiwa kwamba wajiandae kwa semina hiyo tar.29 hadi tar 18 August..
Hivyo nakuomba ukae kwa kutulia majina yatatolewa na NBS then waratibu wa sensa waliopo mafunzoni sasa hivi mkoani wakiwemo maafisa mipango na Elimu Kata wakishirikiana na Watendaji watachuja majina na kuyapost katani tayari kwa kuanza semina hiyo tar.29
Hivyo muda wowote kuanzia leo tujiandae kwa lolote kutoka huko NBS.
watendaji wamehusika pakubwa kuingiza watu wao ambao hawajui mitaa mpaka ikapelekea kushindwa kufanya kaz na kualibu mzeeKama ulifanya kazi za postcode utajua watendaji hawakuhusishwa kwenye zoezi hili. Wamekuja kuhusishwa kwenye zoezi la uhakiki wa hizo anuani
Hawa unaosema wapo mafunzoni ndio watakaokuja kufanya usaili wa makarani mbona ratiba inaonyesha watamaliza mafunzo tarehe 26/7 kwahyo usaili utafanyika tarehe 27 na 28? Ili 29/7 wahudhurie semina?.Mkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa...
Watu wamevurugwa kila kitu kusingizia ccm hawaongelei sifa zaoHakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu...
We jamaa huna akili hata mojaapo inakuja directly connection mpka kwa mkurugenz
SawaMkuu anayekupa taarifa anakupotosha sana,watendaji kata wapo katani kwao wametulia wanasubiria kuanza mafunzo tar 29 pamoja na wasimamizi na makarani wa sensa....
Sio watendaji unatakiwa uelewe basi,tatizo ujuaji ni mwingi.watendaji wamehusika pakubwa kuingiza watu wao ambao hawajui mitaa mpaka ikapelekea kushindwa kufanya kaz na kualibu mzee
sawa Mungu natumia akiri zakoWe jamaa huna akili hata moja