Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Dah, mi kiufupi nimekata tamaa, mana kuna jamaa tylioomba nae pamoja juzi kanipigia simu kuwa kapata dili ya kuhudhuria zile za mkoa.
Kwa sasa analamba asali tu
 
Nikikumbuka dumange hoi eeeeeee😒😒😒
Tutapeana presha ela hatujaishika ila bajeti yake tayar since may 2022
 
Ndugu zangu, hawa vijana wametoka chuo Cha DIT dar, wamekuja kwa kazi ya kuwasha tablet zote na kuziwekea ulinzi pamoja na software wezeshi...

Kwahyo muondoe hofu[emoji1787]
Mkuu em weka sawa hili la watendaji watu watauana humu!!
 
WATENDAJI HOYEEEEEEEEEEEEEE hahahaaaahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakihusika watendaji Sina changu boya sana mtendaji wa kata yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…