Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Maisha yanaenda taratibu sn...toka tar 5 may mkeka upo active na uhudhuriaji wa hpa unapendeza bt mkeka ukitoka either uchanike au uktick...tusiusahau uzi huu tuendelee kuhudhuria tu
Niwahakikishieni ndg zng....muda mrefu mmesubiri bt by ijumaa tar 15/7 majina tutayatoa na majina hayo yalitumwa tka katani kwa wale waliokapeleka form zao tu..!!
Ahsante nawasilisha !!
 
ANYTIME MJIANDAE wapo watakao CHEKA wapo watakao NUNA na KUMWAGA MITUSI GET READY GET READY ANYTIME SOON,
 
Hii comment yako umeanza kama mtendaji lakini umemaliza kama jobless, kweli vituko haviwezi kuisha
Mkuu huku tupo watu wa aina nyingi kumjua mtu huku ni ngumu kwa comment moja ila ukweli nishakula namba kitambo sema maisha ya ujobless nimeyapita kwa zaidi ya 2 years
 
Kuna ile pdf ina jina la MAJINA YA SENSA ina Mb 6.2 naona leo imetumwa kwenye group na mzito mmoja ila kuna jina la mtu aliombea mwanza lipo ila mwanzo walisema niya Rita sasa cjui walizuga au vip
 
Kuna ile pdf ina jina la MAJINA YA SENSA ina Mb 6.2 naona leo imetumwa kwenye group na mzito mmoja ila kuna jina la mtu aliombea mwanza lipo ila mwanzo walisema niya Rita sasa cjui walizuga au vip
Hebu iweke hapa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…