Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Poleni sn,poleni Sana walimu maana mnapigwa mawe sna lakin ukweli hakuna ambae hataki kazi hii kwa uhalisia wa maisha yetu ya kitanzania...siamin km walimu Wana njaa saaaana kuliko majobless wa mtaani!! Nadhani nj defending point dhidi ya walimu tu...
Msiwashutumu kiasi hcho Hawa ndg zetu hakuna ambae hataki pesa kwa maisha ya ck hz
Nawasilisha
 
Jamaaa hataki jobless tutusue kifupi wivu tu yeye ndo Kila mara alikua anaponda na kumtisha yule jamaa mtoa taarifa dah kweli PATA kazi tujue tabia yako
 
Wanachoshtumiwa ni kwamba wanataka kujimilikisha hizo kazi wao tu wengine wasipate
 
Hawa ndo wale wakishapata kazi wanawasahau na waliokuwa wanasota nso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesota na Nani we bwege kila mtu anasoma kivyake na kufaulu kivyake na kujiongeza kivyake.ukitaka hints za kufaulu oral interview za sekratariet ya Ajira NI PM..uandikiwe night 20 kila mwezi za site na mshahara juu
Mkuu tupe tips hizo Za Utumishi, wengine ndo Tumeianza Safari. Utakua umesaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…