Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Poleni sn,poleni Sana walimu maana mnapigwa mawe sna lakin ukweli hakuna ambae hataki kazi hii kwa uhalisia wa maisha yetu ya kitanzania...siamin km walimu Wana njaa saaaana kuliko majobless wa mtaani!! Nadhani nj defending point dhidi ya walimu tu...
Msiwashutumu kiasi hcho Hawa ndg zetu hakuna ambae hataki pesa kwa maisha ya ck hz
Nawasilisha
 
Nakumbuka miaka ya nyuma huna kazi ulikuwa unalalamika kweli [emoji16] ukaja na uzi watu waajiriwe kwa mikataba wapishe wengine kwa zamu zamu

Ulivyootea utumishi kuna mwamba akakuulize vipi ule msimamo wako wa kupishana ukamjibu kila mtu apambane na hali yake
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Kwahyo nashangaa unavyotushangaa jobless kwamba hayo mambo hatujazoea wakati tulikuwa wote kwenye misoto

Sema nini mwanangu nikaribishe huko soon nitimba utumishi kijana wa Manzese

Expendable chama wa gomz ,Monaco ganz ,w.c.n nakadhalika watanikoma ngoja niingie kwenye system nitavimba sana

Mnyungu tunampiga pitori
Jamaaa hataki jobless tutusue kifupi wivu tu yeye ndo Kila mara alikua anaponda na kumtisha yule jamaa mtoa taarifa dah kweli PATA kazi tujue tabia yako
 
Poleni sn,poleni Sana walimu maana mnapigwa mawe sna lakin ukweli hakuna ambae hataki kazi hii kwa uhalisia wa maisha yetu ya kitanzania...siamin km walimu Wana njaa saaaana kuliko majobless wa mtaani!! Nadhani nj defending point dhidi ya walimu tu...
Msiwashutumu kiasi hcho Hawa ndg zetu hakuna ambae hataki pesa kwa maisha ya ck hz
Nawasilisha
Wanachoshtumiwa ni kwamba wanataka kujimilikisha hizo kazi wao tu wengine wasipate
 
Tupate wadhamini kidogo 😂😂😆
poverty-cycle(1).jpg
 
Nakumbuka miaka ya nyuma huna kazi ulikuwa unalalamika kweli [emoji16] ukaja na uzi watu waajiriwe kwa mikataba wapishe wengine kwa zamu zamu

Ulivyootea utumishi kuna mwamba akakuulize vipi ule msimamo wako wa kupishana ukamjibu kila mtu apambane na hali yake
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Kwahyo nashangaa unavyotushangaa jobless kwamba hayo mambo hatujazoea wakati tulikuwa wote kwenye misoto

Sema nini mwanangu nikaribishe huko soon nitimba utumishi kijana wa Manzese

Expendable chama wa gomz ,Monaco ganz ,w.c.n nakadhalika watanikoma ngoja niingie kwenye system nitavimba sana

Mnyungu tunampiga pitori
Hawa ndo wale wakishapata kazi wanawasahau na waliokuwa wanasota nso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom