bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Lakini kurudisha ilikua ni taratibu ya tangu mwanzo nbs wenyewe walisema ivyo kwenye muongozo wa kuomba kazi.Sirudishi hata nn
Ili tuikubali basi hayo maelezo aliyosoma mahali ayabandike hapa jukwaani ili tuhakikisheNdugu wajumbe, hii ramli tuikubali au tuikatae?
We ndo hujui hata nini kinaendeleaMajina Hadi tarehe 28 BwaMdogo
Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
[emoji1787][emoji1787]Sasa mtendaji akiptisha watu wake poa
Ila hizo pesa watazopata nitakksha tunakula wote tuuu! Maana
Vipi na ww ukipata utakua tayar kula naoSasa mtendaji akiptisha watu wake poa
Ila hizo pesa watazopata nitakksha tunakula wote tuuu! Maana
Note my words mkuu, hao NBS ni wasiri kinoumah usikubali hzo information zao wako kitofauti sana.. Mwanzao wakati wamefungua maombi walisema Hadi kufikia mwezi wa 6 majina yatatoka.. now wamekuja kivingine.. Mwanzo nilikuwa wakwanza kuwa Against nao kwenye Ile Schedule yao kutokana najua haya mambo si rahisi kama vile walivyokadhania..We ndo hujui hata nini kinaendelea
🤣🤣🤣 In Tanzania Jobless disaster is more than disease disastersReal meaning of unemployment.
yani kiajira cha wiki 2 lakini kimejaza wana hadi shida.
Kaenda kinyume na maelekezo, angekata tu neno asifikiriwe. Kitendo cha kukomenti achaguliwe hiyo ni command, unawapangia NBS kama vile lazima na utaonekana wewe ulitoa rushwa ili upate kazi.Mimi kwenye form niliandikiwa ,
Mtendaji aliniandikia hivi...... Vipi alikuwa ana maana gani ?????
ACHAGULIWE , ANASTAIRI
Mimi graduate nafanya kujitolea ofisi AAAAA , SIKU hiyo nilipo submit form nilikuwa nime kaa ki ofisi ofisi kabisa yaani , wengine niliona wameandikiwa achaguliwe tuu wameandikiwa , hapa nipo najipa nafasi 50% , kchaguliwaKaenda kinyume na maelekezo, angekata tu neno asifikiriwe. Kitendo cha kukomenti achaguliwe hiyo ni command, unawapangia NBS kama vile lazima na utaonekana wewe ulitoa rushwa ili upate kazi.
It hurts a lot kwa kweli..🤣🤣🤣 In Tanzania Jobless disaster is more than disease disasters
na karanga tena mbichi mkitoka apo mpate na migenye watu wakanyanduane hahahaDuuh angekuwepo magu tungeambulia maji ya uhai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wekeni bando la kutosha masaa 72 yajayo kutakuwa na shangwe plus vilio
AminaMungu anisaidie nipate hiyo kazi ya muda, malipo hata yakiwa laki 4 itanifungulia njia nyingine za kipato.
Ni kweli kuhusu kuhakiki majina kupitia form ya mwombaji lakin watendaji hawajapata maelekezo yoyote hadi sasa na hawaelewi kitu.Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
Mtendaji wa mtaa huyo?Mimi nimeongea na mtendaji kaniambia hakuna alierudisha fomu hata mmoja pia nikiwauliza wana wasema wajapeleka