Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!

Mimi nimeongea na mtendaji kaniambia hakuna alierudisha fomu hata mmoja pia nikiwauliza wana wasema wajapeleka
 
Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!

Sasa mtendaji akiptisha watu wake poa
Ila hizo pesa watazopata nitakksha tunakula wote tuuu! Maana
 
Mimi kwenye form niliandikiwa ,

Mtendaji aliniandikia hivi...... Vipi alikuwa ana maana gani ?????

ACHAGULIWE , ANASTAIRI
 
We ndo hujui hata nini kinaendelea
Note my words mkuu, hao NBS ni wasiri kinoumah usikubali hzo information zao wako kitofauti sana.. Mwanzao wakati wamefungua maombi walisema Hadi kufikia mwezi wa 6 majina yatatoka.. now wamekuja kivingine.. Mwanzo nilikuwa wakwanza kuwa Against nao kwenye Ile Schedule yao kutokana najua haya mambo si rahisi kama vile walivyokadhania..

Suala la kuchambua Application zaidi ya Laki 5 si kazi ndogo kama unataka the best
 
Mimi kwenye form niliandikiwa ,

Mtendaji aliniandikia hivi...... Vipi alikuwa ana maana gani ?????

ACHAGULIWE , ANASTAIRI
Kaenda kinyume na maelekezo, angekata tu neno asifikiriwe. Kitendo cha kukomenti achaguliwe hiyo ni command, unawapangia NBS kama vile lazima na utaonekana wewe ulitoa rushwa ili upate kazi.
 
Mimi graduate nafanya kujitolea ofisi AAAAA , SIKU hiyo nilipo submit form nilikuwa nime kaa ki ofisi ofisi kabisa yaani , wengine niliona wameandikiwa achaguliwe tuu wameandikiwa , hapa nipo najipa nafasi 50% , kchaguliwa
 
Kuanzia kesho ni siku ya uchambuzi wa majina ngazi ya Kata/mitaa. Watendaji wameelekezwa kuunda kamati za kuhakiki zilizojumuisha walimu. Zile fomu tulizorudisha kwa Mtendaji wa mtaa ndo zitatumika kwa uchambuzi, kama hukurudisha irudishe haraka vinginevo hutopata. Baada ya kusikia taarifa hii nimejiuliza haya majina tunayosubiri ya NBS yatakuwa na kazi gani!!
Ni kweli kuhusu kuhakiki majina kupitia form ya mwombaji lakin watendaji hawajapata maelekezo yoyote hadi sasa na hawaelewi kitu.
 
Back
Top Bottom