Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mambo yameiva huko
 
Attachments

  • IMG_20220715_165235_195.jpg
    IMG_20220715_165235_195.jpg
    100.7 KB · Views: 11
Hii bora wangewaangalia graduate wa vyuo vikuu wapate mitaji ya kuanzia, nitashangaa sana kama wakiamua kuwatupilia mbali graduate alafu kila Siku ni mapambio ya kuwaambia watu wajiajiri wakati fursa kama hizi za kupata mitaji hawawapi. Kingine wanapokuja kufeli ni kuwapa watendaji mandate ya kuchagua ni bora wasingesema tuombe online maana huko ukiritimba ni mwingi sana
 
Ninachoona mpaka sasa kinachoenda kutokea

Hapo kwa watendaji zoezi limeharibiwa tayari ,inasikitisha sana NBS waliweza kutenda haki kwa kuwa waamuzi wa mwisho lakini wameamua kuwa sehemu ya kuminya haki.

Naamini waliorudisha fomu kwa watendaji zitakuwa zilichomwa moto na wataambiwa hamkurudisha fomu kwa Sababu hakuna ushahidi.

Ajira za ualimu vijana wameona haki imetendeka kwa Sababu paneli ya kufanya maamuzi ilikuwa kubwa na hiko NBS ndicho walichotakiwa kufanya.
 
Muongozo uliotoka NBS ni kwamba,,Wasimamizi wa Sensa ni Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu Kata tu kwa kila kila Kata,,kwahiyo kama wewe sio mwalimu mkuu na umeomba nafasi ya usimamizi hesabia umeliwa kichwa[emoji2163][emoji1],,

NBS watatoa majina ya waliopita katika usahili muda wowote kuanzia sasa,na usahili utafanyika rasmi tarehe 19 July 2022.Leo wamemaliza vikao vya mikoa kwa baadhi ya maeneo yamebaki mambo machache tu.Ila kila kitu kipo tayari.[emoji857]

Kila aliyeomba nafasi asikae mbali na simu yake au kompyuta yake asubiri kuvuna alichopanda maana wakati wa mavuno umewadia..Naomba kawasilisha[emoji120]
Mwongozo huo umetolewa lini?? Kwann wawe walimu na waratibu Elimu?? Mbona vigezo viliwekwa wazi na kila mwenye sifa alitakiwa kuomba??

Kama Serikali ilikuwa haitaki vijana basi hili tangazo la wasimamizi lingeondolewa kama lile la wasimamizi wa mikoa na wilaya ambao walienda kozi fupi kule Iringa. Vinginevyo acha vijana wapewe hiyo kazi.
 
Acha porojo dogo na kuwatisha ma jobu lesi, wkt wa maombi nbs hawakusema kuwa hizo nafazi zisiombwe ni kwa ajili ya hizo kada ulizozitaja,

Kaa kwa kutulia na wenzako wapate japo hela ya bando
Huu ndio ukweli Kuna maticha nawajua na wengine ni waratibu elimu kata wameenda seminar za uwezeshaji

Hawa ndio watakuja kufundisha wenzao huku katani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninachoona mpaka sasa kinachoenda kutokea
Hapo kwa watendaji zoezi limeharibiwa tayari ,inasikitisha sana NBS waliweza kutenda haki kwa kuwa waamuzi wa mwisho lakini wameamua kuwa sehemu ya kuminya haki.

Naamini waliorudisha fomu kwa watendaji zitakuwa zilichomwa moto na wataambiwa hamkurudisha fomu kwa Sababu hakuna ushahidi.

Ajira za ualimu vijana wameona haki imetendeka kwa Sababu paneli ya kufanya maamuzi ilikuwa kubwa na hiko NBS ndicho walichotakiwa kufanya.
Hawa jamaa ndio hivyo walishafeli kitambo, mfano kipindi kile tunaomba kujaza kata na mtaa mfumo wao ulikua unaleta kata na mitaa ya sehemu nyingine kabisa, mfano Mimi nilijaza kata nyingine sehemu ya kuload kijiji kikaleta cha kata nyingine sasa kwa huu ukiritimba naona nafasi finyu sana ya kutoboa hapo
 
Kwan mujibu wa mwongozo ambao nimeusoma kuna sehemu niliupata jana.

Majina yanatangazwa tarehe 16-18

usaili tarehe 19-21.

Majina yatabandikwa kwenye kata yako.

kipaumbele wasio na ajira
Tuwekee muongozo huo
 
Aisee kupitia Uzi huu nimegundua kuwa kuna watu wana njaa sana.
Vumilieni
We ambaye huna njaa unafanya nn humu, embu acheni kuwabagaza vijana wasio na ajira hv mnafikiri msoto wanaopitia wanapenda?

Majobu lesi msikatishwe tamaa na hawa vizabizabina wanaokaa kwa shemeji zao, mungu atawasaidia na mtatoka tu.

Hakunaga hali ya kudumu, hata msoto mnaopitia kunasiku utabaki kuwa ni story.

Poleni sn
 
Back
Top Bottom