Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Sasa mtendaji akiptisha watu wake poa
Ila hizo pesa watazopata nitakksha tunakula wote tuuu! Maana
Changamka
Hiyo kuna walimu,mwenyekiti wa mtaa,mtendaji kata watendaji wa mtaa wazee kutoka mtaa husika.
Sasa hapo wewe wote hao ukose wa kukutetea ndugu?
 
Changamka
Hiyo kuna walimu,mwenyekiti wa mtaa,mtendaji kata watendaji wa mtaa wazee kutoka mtaa husika.
Sasa hapo wewe wote hao ukose wa kukutetea ndugu?
Vijana wa Tanzania hamueleweki mnataka nini subiri kwanza mpigike kitaa mpaka akili ziwakae sawa. Huwa nashikwa na huruma Sana ninapoona vijana wanalalamika mfumo wa kujuana unavyowakosesha fursa lakini suala la ajira za sensa zimebadili mtazamo wangu kabisa.

Kijana huyohuyo anayelalamika kwingine anaonewa kwa Sababu hawamjui lakini hapohapo anashangilia kwenye sensa kwa Sababu wanamjua. Kweli nimeamini hakuna mfumo unaokubalika na kila mtu nami naona bora mashemeji, ndugu na jamaa wapewe fursa na ndugu zao wenye nafasi.

Baada ya kusema haya naomba niseme KAZI IENDELEE.
 
Bora mkeka ulivyochelewesha maana wangetoa ile wiki ya matokeo ya post za ualimu hali ingekuwa mbaya zaidi kwa baadhi ya watu.
 
Just In:

Mchujo wa majina kwa level ya Kata kwa Arumeru, Arusha unafanyika leo na watendaji wa kata wamewaomba wakuu wa shule wawatumie majina ya walimu wa shule zao walioomba Sensa.

Hapa jobless tushapigwa goli la mkono
Majina kesho yapo kwa hewa.

Msisubiri majina yatatolewa kwenye website ya nbs, kuanzia tarehe 16-18 kaangalie majina kwenye ofisi ya kata uliyoombea kazi.
 
Muongozo uliotoka NBS ni kwamba,,Wasimamizi wa Sensa ni Walimu Wakuu na Waratibu wa Elimu Kata tu kwa kila kila Kata,,kwahiyo kama wewe sio mwalimu mkuu na umeomba nafasi ya usimamizi hesabia umeliwa kichwa[emoji2163][emoji1],,

NBS watatoa majina ya waliopita katika usahili muda wowote kuanzia sasa,na usahili utafanyika rasmi tarehe 19 July 2022.Leo wamemaliza vikao vya mikoa kwa baadhi ya maeneo yamebaki mambo machache tu.Ila kila kitu kipo tayari.[emoji857]

Kila aliyeomba nafasi asikae mbali na simu yake au kompyuta yake asubiri kuvuna alichopanda maana wakati wa mavuno umewadia..Naomba kawasilisha[emoji120]
 
Just In:

Mchujo wa majina kwa level ya Kata kwa Arumeru, Arusha unafanyika leo na watendaji wa kata wamewaomba wakuu wa shule wawatumie majina ya walimu wa shule zao walioomba Sensa.

Hapa jobless tushapigwa goli la mkono
Humu kuna watu hawaelewi nilishawaambia majina yaliletwa kata ila wakaanza nishambulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo dogo na kuwatisha ma jobu lesi, wkt wa maombi nbs hawakusema kuwa hizo nafazi zisiombwe ni kwa ajili ya hizo kada ulizozitaja,

Kaa kwa kutulia na wenzako wapate japo hela ya bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…