Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ukweli ni kwamba wote walioomba kazi majina yao yataonekana kwa kata kwa ajiri ya usaili. Labda uwe hukurudisha form au kama mtendaji alisahau kukuandika ktk kitabu cha kumbukumbu. Baada ya usaili ndipo kuna mchujo sasa
 
Kosa lililofanywa na NBS ndo Hilo hawakuweka utaratibu wa zile fomu kurudishwa. Mrudushaji hana ushahidi wa kumsaidia kulalamika fomu yake inapofichwa na kuonekana hakurudisha.

NBS walitakiwa kuchuja majina wao na waite kwenye usaili wao na kama hitaji la kuwa na fomu walitakiwa kusema siku ya usaili kila mtu aende na fomu yake.
 
Mkuu huwa nawaza sijui ni Tanzania pekee ambapo mtu akipata ridhaa/cheo/kazi, akili inalala inashindwa kufanya kazi. Maana napata shida kuamini kama umati wote ule NBS ameshindwa kujitokeza hata mtu mmoja kuwaza kama ulivyowaza.
 
Ukweli ni kwamba wote walioomba kazi majina yao yataonekana kwa kata kwa ajiri ya usaili. Labda uwe hukurudisha form au kama mtendaji alisahau kukuandika ktk kitabu cha kumbukumbu. Baada ya usaili ndipo kuna mchujo sasa
Kama ni hivyo mbona NBS walisumbua watu kuomba mtandaoni?
Miezi yote hiyo walikuwa wanachambua nini?
 
Si kweli ushahidi anao,anaweza kuidownload kutoka kwenye account yake na aliacha copy kwa mwenyekiti
 
Kama ni hivyo mbona NBS walisumbua watu kuomba mtandaoni?
Miezi yote hiyo walikuwa wanachambua nini?
Unajuwa humu kila mtu anaongea analolijuwa, mimi nadhani tusubiri tuache muda uamue mbivu na mbichi zitafahamika tu, tusiwe wepesi wa kulaumu kabla ya hali halisi hatujakutana nayo.
 
Si kweli ushahidi anao,anaweza kuidownload kutoka kwenye account yake na aliacha copy kwa mwenyekiti
Inaonekana ni mgeni wa Mambo hayo. Kuna mtu alitumwa apeleke document ofisi fulani ile document akaifikisha kosa likawa ni kwamba hawakubidhiana kwa dispatch maalumu ile ofisi ikapoteza ile document na ikakana kabisa kuipokea. Huo ni mfano tosha wa kuelezea nini kinachoweza kutokea.

Ninazungumzia ushahidi wa wewe kuthibitisha document yako imepokelewa.

Serikali kuja na ajiraportal ni kupunguza malalamiko ya waombaji barua zao kupokelewa na kufichwa kabatini , unadhani unapotuma barua kwa posta au unapopleka barua yako ya maombi ya kazi masijala ya ofisi husika inakujali Sana? Kuna Mambo ya hovyo kwenye hizo masijala kuyaelezea ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…