Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Inaonekana ni mgeni wa Mambo hayo. Kuna mtu alitumwa apeleke document ofisi fulani ile document akaifikisha kosa likawa ni kwamba hawakubidhiana kwa dispatch maalumu ile ofisi ikapoteza ile document na ikakana kabisa kuipokea. Huo ni mfano tosha wa kuelezea nini kinachoweza kutokea.

Ninazungumzia ushahidi wa wewe kuthibitisha document yako imepokelewa.

Serikali kuja na ajiraportal ni kupunguza malalamiko ya waombaji barua zao kupokelewa na kufichwa kabatini , unadhani unapotuma barua kwa posta au unapopleka barua yako ya maombi ya kazi masijala ya ofisi husika inakujali Sana? Kuna Mambo ya hovyo kwenye hizo masijala kuyaelezea ni ngumu
Naunga mkono hoja
 
Kila mtu atapataje wakati waliotuma maombi kwa usahihi ndo hao 689,000+ na nafasi nchi nzima ni 205,000 tu?
Sio kweli waliotuma kwa usahii wakisema 500k then kuna ambao waliweka vyeti ambao sivyo n.k then ujue competition hipo kwenye kata husika
 

Attachments

Back
Top Bottom