ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Na walimu ndio wanaochuja watu😄Just In:
Mchujo wa majina kwa level ya Kata kwa Arumeru, Arusha unafanyika leo na watendaji wa kata wamewaomba wakuu wa shule wawatumie majina ya walimu wa shule zao walioomba Sensa.
Hapa jobless tushapigwa goli la mkono