Sylvanus97
Member
- Mar 3, 2019
- 14
- 9
Mweee ndagha mupijile nkhamu....[emoji120]Mbeya cc kaz kwenu
Link[emoji1541]
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MUDA YA SENSA
KUPATA TANGAZO HILI BONYEZA HAPA PAKUA HAPA.pdfmbeyacc.go.tz
UsingeUpo ushokora au
Kweli Ila tangulize Mungu uone kama bahati haiangukii kwakoHizi ni bahati na sibu
kuna maisha baada ya sensa acha ubwegeWalimu wakisimamia usaili sisi ma jobless kazi kwisha
Kwani si mlisema watendaji ndio watasimamia?Walimu wakisimamia usaili sisi ma jobless kazi kwisha
Wapi kibaha pwani, tanga korogwe nkNational Bureau of Statistics Call For Interview 1, July 2022 - Ajira Mpya 360
National Bureau of Statistics Call for Interview, National Bureau of Statistics Vacancies, Kuitwa Usaili ajira za Sensa 2022,ajirampya360.com
Semina inaanza tarehe ngapi....???Na watakao wafanyia usahili watahiniwa wa nafasi za sensa sio watendaji wa kata tena bali ni walimuu wakuu kutoka shule kadhaa ambao majina yao yameshapelekwa Wilayani pamoja na waratibu elimu Kata..
Nawapongeza NBS kwa hili maana itaondoa ile dhana mtendaji ndio mwenye maamuzi ya mwisho so kila mtu atapata haki yake .[emoji857][emoji857]
Watendaji wa Kata na Vijiji hawatahusika katika usahili ila watakuepo kwenye semina zinazoanza tarehe 29.Kama una vigezo na unaamini katika Mungu wako amini kua utapata [emoji120]
Majobless wenzangu tusikate tamaa hii ni nafasi nzuri ya kuanzia maisha kama tukifanikiwa kupata kiinua mgongo cha sensa[emoji122][emoji122]
Uhuni mwingMweee ndagha mupijile nkhamu....[emoji120]
Halotel.Hivi mitandao gani huwa ubakubali freebasics?
Ukipata kibaha mji nitumie na mimi mkuu ingawa nahisi mpaka keshoWapi kibaha pwani, tanga korogwe nk
Hawa k. Mabloger ukifungua link unaambiwa udownload telegram. Watu hawana mda huo mandeziMajina ya Sensa Mikoa yote Hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
Name Called for Sensa Jobs: walioitwa kwenye usahili sensa 2022 - Bromunews
Majina ya walioitwa kwenye usahili sensa Ajira 2022, check at nbs.go.tz kupata names called for interviews Ajira sensabit.ly
19 JumanneSemina inaanza tarehe ngapi....???
Link haipo relevant , weks direct pdf.Unalala sana, moshi yametoka tangu mchana
Hahaha eti Tangazo kuu.Kazi kwa Mwanza Mc ukipata kyela na Rungwe tafadhali tupia