Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

[emoji15]KWA moshi Uru Kusini mpo zaidi ya 400 afu wengi wanachuo cha mwenge, mumejazana Kama nyuki kwenye mzinga mkaacha baadhi ya kata Kuna watu 80 tu. Subiri panga tu apo hutoboi dogo, narudia tena Uru Kusini hutoboi. Uru Kusini hutoboi
[emoji1787][emoji1787] da utafkiri wewe ndo kamisaa wa sensa
 
Bora watendaji hao walimu ni wabinafsi,usitegemee kupata ikiwa walimu watachakata wao Sababu hawezi kumuacha mwalimu mwenzake akuchukue wewe never hiyo haijalishi huyo mwalimu hayupo shuleni kwake,walimu wa hii nchi huwajui,tegemea kusaga meno
 
Yaani watu kibao tunaenda kujazana ofisi za kata daah.

Hivi wanahitaji watu wangapi kwa kila kijiji/kata maana mtu unaweza kujichosha kufanya huo usaili kumbe wanahitajika mtu chache tu na tayari walishapangwa tayari.

NBS wangechambua tu wenyewe watoe mkeka hizi longo longo kibao ni kujifanya watenda haki ilhali wanakosea, kuwapa watu taharuki na kupotezeana muda bila sababu za msingi. Na wanajua fika kua lazma upangwaji wa watu kwa connection zao utakua ni mkubwa sana.
 
Kwani Waalimu ndio watendaji wa kata?
 
Sijajua ila kwa wastani ukichukua idadi ya watu wanaohitajika kufanya kazi ya sensa na idadi ya vijiji vyote tz unapata wastani wa watu 12 kwa kila kijiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…