Sw ila ushindani ni mkubwaa mnoooHapana bana, mbona kuna kata zingine zina vijiji 14 na kila kijiji nasikia wanahitajika watu 4
Bila ya connection hatoboi mtuVibaya mno nilichoona bila connection kutoboa ni vigumu tena sana
Watu 4 ni wasimamizi au makarani??Hapana bana, mbona kuna kata zingine zina vijiji 14 na kila kijiji nasikia wanahitajika watu 4
Udini unewakaa sana ndio mana ukifika pemba ni magofu tu na harufu za mashombo ya samaki na mapweza, roho mbaya zimewajaa zaidi ya shetani firauni. Akipata mkristo kazi ya sensa zanzibar mm na kwenda kujilipua na petrol.Asslam Alaykum.
Wilaya ya Mjini imejiwekea Utaratibu wake wa kufanya Uhakiki kwa Wale wote ambao watafanya usaili Tarehe 19/7/2022. Utaratibu ni kama ufuatao:
Siku ya Jumatatu ya Tarehe 18/7/2022 Waliomba Ajira ya Muda ya Sensa na Makazi wanatakiwa kuwaona Masheha wao kwa Ili akuhakiki katika Maeneo Maalum kama Ifuatayo.
Eneo la Skuli ya Bitihamran saa 1 asubuhi Masheha 15 watakuwa hapo: Mpendae, Bitihamrani,Migombani, Kilimani, Magomeni,Meya,Jangombe, Matarumbeta, Kidongo. Chekundu, Urusi, Kwamtumwajeni, Kwa wazee,Sogea na Nyerere.
Eneo la Karakana/ hospital ya Chumbuni Asubuhi saa 1 Masheha 9 watakuwepo hapo.
Karakana, Banco, chumbuni, Muembe Makumbi, Masumbani,Maruhubi, Kwamtipura, Mboriborini na. Mitiulaya.
Eneo la Hospitali ya Lumumba asubuhi saa 2 Asubuhi Masheha 13 watakuwepo hapo:
Gulioni, Makadara, Mikunguni, Mapinduzi,Saateni, Mlandege, Mkele, Shaurimoyo, Kwahani, Kwalinato, Kwalimsha, Muungano na Muembeladu.
Eneo la Malindi katika Soko la Samaki saa 3 asubuhi Masheha 5 watakuwa hapo.
Malindi,, Kiponda,. Mkunazini. Shangani na mnazimmoja
Tangazo hilo tunalitoa katika mitandao ya Kijamii ya Wilaya tukiamini ya kwamba muombaji anatumia teknologia.
Ukiliona Tangazo hili mujulishe na Mwenzio.
Tena huko aliko Uru Kusini interviewers ni walimu wanne na diwani. Ngoma ngumu hii, dogo hachomoi aende tu kuuza ice-cream za ukwaju YMCA[emoji1787][emoji1787] da utafkiri wewe ndo kamisaa wa sensa
Kitu ulichokua hujui, jaribu kuuliza au kutafakari kwa kina kabla hujaongea au kuandika kitu.Udini unewakaa sana ndio mana ukifika pemba ni magofu tu na harufu za mashombo ya samaki na mapweza, roho mbaya zimewajaa zaidi ya shetani firauni. Akipata mkristo kazi ya sensa zanzibar mm na kwenda kujilipua na petrol.
Una mnanga kinoma si ungenanga harusi ya jana chief , au weeee ni weeeeee. Mzee wa ungo trans ......Tena huko aliko Uru Kusini interviewers ni walimu wanne na diwani. Ngoma ngumu hii, dogo hachomoi aende tu kuuza ice-cream za ukwaju YMCA
Inategemea na idadi ya vitongoji vya kila kijiji, kwa utaratibu wa nyuma ilikuwa kila kitongoji ktk kijiji kinakuwa na karani mmoja.Hapana bana, mbona kuna kata zingine zina vijiji 14 na kila kijiji nasikia wanahitajika watu 4
Wanazingua hawa matangazo kibaoHawa k. Mabloger ukifungua link unaambiwa udownload telegram. Watu hawana mda huo mandezi
Daaah! Mmeshaanza lawama kwa walimu tena? Ila watu mbona mliafiki watendaji kusimamia hili zoezi?Bora watendaji hao walimu ni wabinafsi,usitegemee kupata ikiwa walimu watachakata wao Sababu hawezi kumuacha mwalimu mwenzake akuchukue wewe never hiyo haijalishi huyo mwalimu hayupo shuleni kwake,walimu wa hii nchi huwajui,tegemea kusaga meno
Eneo uliloombea si lazima ufanyie kazi hapohapo, unaweza ukawa umeomba eneo X kisha ukapangwa eneo Z huwaga iko hivyoWatu 4 ni wasimamizi au makarani??
je kila kitongoji kunatakiwa kuwe na makarani wangapi??
je kama umeomba kijiji x unaweza chaguliwa kufanya kazi kijiji y vijiji vyote vipo ndani ya kata moja?