Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuna mtu anaitwa mpwayungu village.huyu jamaa pamoja ya kuwa ni jobless lakin pia ni hopless.jaribu kuangalia comments zake kwenye hili jukwaaa.sijui anajikuta nani vile......!!! Efu yu.
 
Kuna Jobless mwenzangu kesho anpanda gari dar awahi usahili Ntwara J4,nimeambiwa usijali umeenda wakati muafaka coz ukikatwa kwenye usahili utaenda kulimia mikorosho na kujiandaa na msimu hivyo nauli yako haijaenda bure .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…