kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,552
- 1,661
HahahahaHalmashauri ambazo hazijatoa majina mpaka sasa ni wanandaa mazingira ya kubebana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaHalmashauri ambazo hazijatoa majina mpaka sasa ni wanandaa mazingira ya kubebana
NBS ndio wa kulaumia hapaHata Tabora ni hivyohivyo
Hawa sindo wakitoa tangazo la nafasi za watendaji hawajarudisha majina na ninasikia watu wapo kaziniMorogoro MC, Morogoro DC zote kimya
iringa mambo tayarii huko
DuhhhKwa halmashauri ya mafinga majina wamebandika kwenye ofisi za watendaji so pitieni huko
Langu nimeliona ila duh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwenye ako na maswali yanayoulizwa anipe asee
Kata ya kising'a vp?Kwa halmashauri ya mafinga majina wamebandika kwenye ofisi za watendaji so pitieni huko
Langu nimeliona ila duh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwenye ako na maswali yanayoulizwa anipe asee
laki 6Kwani hii ishu ya sensa mpaka zoezi posho jumla shingapi?
bukuKwani hii ishu ya sensa mpaka zoezi posho jumla shingapi?
Huu upumbavu ukemewe mara moja, chama cha siasa sio kigezo cha mtu kupata kazi. Kwahiyo wale walioko NCCR, ACT, CHADEMA sio watanzania?? Kwann tunafikia huku??
Kwahiyo kama sio ccm usijiangaishe au
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oyahmi sija apply na ninaenda kwenye usaili mamaee itajulikana uko uko Nchi yetu sote hii bana,yanaweza jirudia yale ya uchaguzi napata nafasi getini siku ya semina
Your poor because your poorTupate wadhamini kidogo [emoji23][emoji23][emoji38]View attachment 2290067