Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ni muda wa kujiandaa kisaikolojia sasa maana hii bongo nyosso connection kila mahali yaani full kujuana bora niokoe muda nitafute connection na jembe tu nikalime kijijini Nkunya
 
Haya majina yaliyotoka wamechambua akina nani? Maana kuna vituko vingi sana.

Kwa mfano rafiki zangu wana degree za IT ila hawamo kwenye shortlisted ya kwenda kufanya usaili ila mtu cheti cha short course za ICT jina lake limo..a m
Ndugu wawili wilaya XYZ mmoja kasoma ualimu na mwingine uhasibu wote wamepata afisa tehama ....😂😂kifupi hawana hata vyeti vya shoti kozi ya Tehama ila wamepata nbs wametishaaaa mamaeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…