AKAN
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 991
- 963
ššmuache mwana akapambaneKuna Jobless mwenzangu kesho anpanda gari dar awahi usahili Ntwara J4,nimeambiwa usijali umeenda wakati muafaka coz ukikatwa kwenye usahili utaenda kulimia mikorosho na kujiandaa na msimu hivyo nauli yako haijaenda bure .