Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ndugu wawili wilaya XYZ mmoja kasoma ualimu na mwingine uhasibu wote wamepata afisa tehama ....😂😂kifupi hawana hata vyeti vya shoti kozi ya Tehama ila wamepata nbs wametishaaaa mamaeee
Hahahaha...umeandika kwa uchungu Sana ila nakuombea usijiunge na makundi ya kiharamia maana level uliofikia ya uchungu ni ile ya liwalo na liwe.

Huo mchezo NBS hata hawaujui majina yamechezewa Serikali za mitaa. Kuanzia alhamis baada ya usaili kitapelekwa kilio Cha mbwa kubweka mdomo juu huuuuhuuuu
 
Embu acha uongo mpwayungu ww mm nipo zenji nambie makao makuu yke iyo brotherhood yako wapi?
Hlf Allah Akbar sio Salam mzee ww ni muongo muongo sana humu jamvini

lete uthibitisho wa ukisemacho acha kuendekeza chuki izo

imeisha iyoo in kidagaa voice
 
Ndugu wawili wilaya XYZ mmoja kasoma ualimu na mwingine uhasibu wote wamepata afisa tehama ....😂😂kifupi hawana hata vyeti vya shoti kozi ya Tehama ila wamepata nbs wametishaaaa mamaeee
Mkuu kwenye ualimu huwa kuna course inaitwa COMPUTER LITERACY FOR TEACHER huwa inahusiana na mambo kama hayo. Kuwa mpole
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%,,Haya majina wamemaliza katani na wilayani NBS hawajahusika kwa lolote,,

KWANINI NASEMA HIVI!

Nina ndugu yangu kaajiriwa juzi ni afisa kwenye kata fulani ila cha ajabu kwenye majina ya usahili jina lake halijarudi na ana vigezo vyote na elimu ya kutosha(Wengi wasio na vigezo majina yao yamerudi hata walioishia form 3[emoji1]),,maana yake walipoona ameajiriwa wakaamua kumkata jina lake lisiwe shortlisted kwahiyo hapo NBS hawahusiki
 
NBS tunawaomba mtoe tamko .
Mnavyo kaa kimya hivi CIO tabia nzuri hata kidogo
Majina kutoka Kwa mafungu mafungu sio ustaarabu , ni kiashiria cha majobless kukosa asali
Mama makinda tunakugemea , vijana tuna Hali mbaya Sana 😥
 
We jamaa Muongo Muongo Sana..tushakuchoka
 

Si wamesema majina yote waloomba wamerudisha kama yalivyo imekuwaje?
 
Mkuu kwenye ualimu huwa kuna course inaitwa COMPUTER LITERACY FOR TEACHER huwa inahusiana na mambo kama hayo. Kuwa mpole
Watu wametokwa na mapovu Mara ohhh sasa Mimi Nina degree inakuwaje nikose Mimi apate !wenye elimu ndogo zaidi yangu tulieni dawa iwaingie mmejaza makaratasi kichwani hamna kitu mmezeshwa majivuno na kujikweza
Ni Tanzania tu form 4 anawekwa kwenye kundi sawa kwenye ajira na mwenye masters na wote wanasubiri kufanyiwa usaili na darasa la saba. Nchi nyingine panga lenye makali kuwili lingepita na form 4 wote.

Sio mbaya nanyi mpate kitu Cha kusimulia wajukuu mkekani enzi hizo mkiwa wahenga' hapo zamani za kawe kulikuwa na usaili ...'
 
ni Aibu kwa msomi kulialia
 
Hii sio ramli, mi nimeitwa niliomba usimamizi maudhui ila ndio hivyo UE sijamaliza na majina yametoka leo.
Hakuna muujiza wowote wa kunifanya niwahi, nishakubali hali hela nitapata kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…