Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Sema ni Halmashauri gani michezo ya Halmashauri ni hatari kwa ustawi wa nchi. Hata usiogope na sio jambo la kushtua mtu mwenye Elimu ya kidato Cha nne akachukuliwa na mwenye degree akaachwaWilaya X sitaki kuiweka hadharani lakini kuna maajabu hayo.