temeke mh mm npo apo lakin czan kama yatatoka majina ya usairi ngosa tusubili
Kwanin mkuutemeke mh mm npo apo lakin czan kama yatatoka majina ya usairi ngosa tusubili
kama ulyemuombea yupo kata tofauti basi we itakuw umewekwa mkoa tofauti, hebu jaribu kuangalia mikoa mingine, usijiona subiri ya dar na moro na usipojiona tena bs tuonane twenti thatetuKwa wale wa Moshi Manispaa kata ya Miembeni, Majengo pamoja na Mji mpya majina haya hapa nilifatilia kuangalia jina langu lakini hola mmoja wapo niliemsaidia kuapply amepata lakini jina lake limetokea kwemye kata nyingine tofauti na ile tuliyojiandikishia na kuacha fomu zetu, hivyo nawapasa mjaribu kufatilia pia kata za karibu kwa Moshi interview ni keshoView attachment 2295045View attachment 2295046View attachment 2295047View attachment 2295048View attachment 2295049
Generation Z mna matatizo sana, me nimetoa ushauri maana kata aliyopangiwa iko jirani kwa wanaojua shule ya Majengo secondary ofisi ya kata ilipo na Kwa Mtei wanajua ukaribu huo! me nimetoa ushauri sasa we unaanza kuleta habari za sijui nisubiri Dar au Moro!kama ulyemuombea yupo kata tofauti basi we itakuw umewekwa mkoa tofauti, hebu jaribu kuangalia mikoa mingine, usijiona subiri ya dar na moro na usipojiona tena bs tuonane twenti thatetu
Na yote hiyo ni kutokana na watu kukosa nafasiNatabiri huu Uzi utaleta mfarakano na mnyukano mkubwa..na league itakua Kati ya walimuVs Graduate jobless.....Graduate jobless Vs Form Four leaver...
LeseniWAKUU NAOMBENI JIBU LA HARAKA HARAKA
Kwenye usaili wanasema tuende na vitambulisho kama hauna uende na kitambulisho cha mkazi vyote sina nina namba ya nida tu
Hivi je kama nikitumia barua ya utambulisho ya kata niliyopo sasa kama utambulisho wangu kwenda kwenye kata tofauti na niliyoombea ambapo natakiwa kwenye usaili ni mbali sana kama utambulisho wangu hawatazingua ?
Sijaona mkeka wa Dar es salaam hata mmojaHahahaha Kuna mdau alisema mkeka ukitoka Kuna mnyukano utatokea, maana kabla ya mkeka wote tulikuwa tunaongea lugha Moja ila mkeka umechafua lugha, Walimu Vs Wasio walimu, wenye digrii Vs Wasio nazo hatarii Sana. Wana daslam mikeka Bado?? Ilala, kinondoni, Temeke, kigamboni na Unungo au hatufanyi itavyuuu tunaenda moya Kwa moya
Kuna kipind Tfda ilikuwa 1000+ kwa nafasi 3Mkuu yani 50/300 unaona ajabu??? Me nshawahi kuwa shortlisted Utumishi 5/800.
Dar wanavutavuta muda mikoani wafanye kwanza usahili ili maswali yapatikane [emoji38]Hahahaha Kuna mdau alisema mkeka ukitoka Kuna mnyukano utatokea, maana kabla ya mkeka wote tulikuwa tunaongea lugha Moja ila mkeka umechafua lugha, Walimu Vs Wasio walimu, wenye digrii Vs Wasio nazo hatarii Sana. Wana daslam mikeka Bado?? Ilala, kinondoni, Temeke, kigamboni na Unungo au hatufanyi itavyuuu tunaenda moya Kwa moya
Sina piaLeseni
Mimi mwenyewe nipo kivule mkeka ukitoka nitag.Mwenye pdf ya ilala-kivule