Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwa wale wa Moshi Manispaa kata ya Miembeni, Majengo pamoja na Mji mpya majina haya hapa nilifatilia kuangalia jina langu lakini hola mmoja wapo niliemsaidia kuapply amepata lakini jina lake limetokea kwemye kata nyingine tofauti na ile tuliyojiandikishia na kuacha fomu zetu, hivyo nawapasa mjaribu kufatilia pia kata za karibu kwa Moshi interview ni keshoView attachment 2295045View attachment 2295046View attachment 2295047View attachment 2295048
IMG_20220718_113912_989.jpg
 
Kwa wale wa Moshi Manispaa kata ya Miembeni, Majengo pamoja na Mji mpya majina haya hapa nilifatilia kuangalia jina langu lakini hola mmoja wapo niliemsaidia kuapply amepata lakini jina lake limetokea kwemye kata nyingine tofauti na ile tuliyojiandikishia na kuacha fomu zetu, hivyo nawapasa mjaribu kufatilia pia kata za karibu kwa Moshi interview ni keshoView attachment 2295045View attachment 2295046View attachment 2295047View attachment 2295048View attachment 2295049
kama ulyemuombea yupo kata tofauti basi we itakuw umewekwa mkoa tofauti, hebu jaribu kuangalia mikoa mingine, usijiona subiri ya dar na moro na usipojiona tena bs tuonane twenti thatetu
 
Generation Z mna matatizo sana, me nimetoa ushauri maana kata aliyopangiwa iko jirani kwa wanaojua shule ya Majengo secondary ofisi ya kata ilipo na Kwa Mtei wanajua ukaribu huo! me nimetoa ushauri sasa we unaanza kuleta habari za sijui nisubiri Dar au Moro!
 
WAKUU NAOMBENI JIBU LA HARAKA HARAKA

Kwenye usaili wanasema tuende na vitambulisho kama hauna uende na kitambulisho cha mkazi vyote sina nina namba ya nida tu

Hivi je kama nikitumia barua ya utambulisho ya kata niliyopo sasa kama utambulisho wangu kwenda kwenye kata tofauti na niliyoombea ambapo natakiwa kwenye usaili ni mbali sana kama utambulisho wangu hawatazingua ?
 
Hahahaha Kuna mdau alisema mkeka ukitoka Kuna mnyukano utatokea, maana kabla ya mkeka wote tulikuwa tunaongea lugha Moja ila mkeka umechafua lugha, Walimu Vs Wasio walimu, wenye digrii Vs Wasio nazo hatarii Sana. Wana daslam mikeka Bado?? Ilala, kinondoni, Temeke, kigamboni na Unungo au hatufanyi itavyuuu tunaenda moya Kwa moya
 
Leseni
 
Sijaona mkeka wa Dar es salaam hata mmoja
 
Hahahaha Kuna mdau alisema mkeka ukitoka Kuna mnyukano utatokea, maana kabla ya mkeka wote tulikuwa tunaongea lugha Moja ila mkeka umechafua lugha, Walimu Vs Wasio walimu, wenye digrii Vs Wasio nazo hatarii Sana. Wana daslam mikeka Bado?? Ilala, kinondoni, Temeke, kigamboni na Unungo au hatufanyi itavyuuu tunaenda moya Kwa moya
Dar wanavutavuta muda mikoani wafanye kwanza usahili ili maswali yapatikane [emoji38]
 
Yaan Arusha toka aondok Lema matatiz tu mpak sahiv wakurugenz wapo na majin cjui wanayafanyia nn? Atakaepat ya Arusha anitag plz
 
Back
Top Bottom